Wazalendo wenzangu jamani 7/7 imekaribia

Ili mrushe picha za innocent victims kwenye mitandao while mnakula alawanzi za kuchochea vurugu sio?

Enough is enough
Ndio, hata ww ukitaka kutokea kwenye picha unakaribishwa.
 
Mtaua wengi na kuvunja hivyo vibofu uvya watu ila hakika nanyi moto wa jehanamu unawasubiri. Nanyi pia kuzimu ya mateso ndio utakuwa makao yenu milele
Yaani mtu akutese duniani halafu wewe unasubiri malipo jehanamu, hizo ni akili kweli?
 
Tena sahivi kuna Polisi wapya wanapewa Ajira waliohitimu juzi hapo CCP, wana hamu ya kutumia bunduki hatariiii.

Sumu haionjwi Waja. Ooooh
 
Msiwadanganye Gen Z jamanii, yatakua zaidi ya oct 2025.
Safari hii watatoa ulinzi kulinda maandamano kama sheria inavyowataka, dunia imeshawaelemea kwa upuuzi waliofanya 29.10.2025
 
tutawamiss sana humu.
 
Safari hii madogo wamejizatiti, hawataanzisha vurugu yoyote na watalindana wasiharibu mali za watu ila wakichokozwa watajibu kwa nguvu maradufu.
kiongozi
wewe hautakuwa kwenye msafara kuwapa kampani wadogo zako ?
 
Tena sahivi kuna Polisi wapya wanapewa Ajira waliohitimu juzi hapo CCP, wana hamu ya kutumia bunduki hatariiii.

Sumu haionjwi Waja. Ooooh
kwani hawatakuwa na silaha nyingine tofauti na bunduki ?
 
acha kuwaingiza wenzako chaka halafu wewe umejifungia ndani,,,, Kwenda kupigania watanganyika wasiojielewa ni uwendawazimu..
 
Peleka upuuzi wako huko kenge wewe
 
Wazalendo wenzangu 7/7 imekaribia. Tuko tayari kwa maandamano. Ni natoa onyo kwa wale wanataka kuleta hofu. Lazima tuikomboe nchi yetu.
umetumwa we si bure ... haki zako ni mbili tu hapa duniani , kuzaliwa na kufa,, hizo zingine ni mbwembwe ambazo huna mamlaka nazo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…