Wazalendo tunaomuunga mkono Prof. Assadi tukutane hapa!

Huwezi kumtetea mtu anayeivua nguo nchi akiwa nje ya nchi tenakwa rank yake hatufai kabisa.kama kuna shida na ripoti yake mbona taratibu ziko wazi kwa mujibu wa sheria.Serikali haiwezi kuwavumilia wote wanaichafua wakiwa huko nje kwa kisingizio Cha Uhuru wa kujieleza au demokrasia
Unapaswa kwanza ufahamu Prof Asad ni nani huko nje? Usifikiri Profesa ni mzito hapa tu, anaaminika kimataifa, majibu yake yaliulenga pia kulinda credibility yake. Hivi kusema Bunge ni dhaifu ukiwa nje inaathari gani ukilinganisha na kudanganya kwamba Bunge sio dhaifu wakati ni dhaifu na inajulikana hata huko nje?
 
Ndiyo atakuja hapa atueleze huo udhaifu wa Bunge....
 
Unapaswa kwanza ufahamu Prof Asad ni nani huko nje? Usifikiri Profesa ni mzito hapa tu, anaaminika kimataifa, majibu yake yaliulenga pia kulinda credibility yake. Hivi kusema Bunge ni dhaifu ukiwa nje inaathari gani ukilinganisha na kudanganya kwamba Bunge sio dhaifu wakati ni dhaifu na inajulikana hata huko nje?
Ndiyo atakuja hapa atueleze huo udhaifu wa Bunge kinyume na hapo tutamuondoa kwenye hiyo nafasi maana anakiuka kiapo alichoapa.
 
Wewe na nani mtamwondoa? Kwa sababu amesema ukweli kwamba Bunge ni dhaifu, au mna sababu nyingine? Kwani kiapo chake kinasema aseme uongo kwamba Bunge sio dhaifu? Bunge linasemaje kuhudu trilioni 1.5?
 
Ataondoka tu ikithibitika amekiuka maadili ya utumishi wa umma.
 
Huwezi kumtetea mtu anayeivua nguo nchi akiwa nje ya nchi tenakwa rank yake hatufai kabisa.kama kuna shida na ripoti yake mbona taratibu ziko wazi kwa mujibu wa sheria.Serikali haiwezi kuwavumilia wote wanaichafua wakiwa huko nje kwa kisingizio Cha Uhuru wa kujieleza au demokrasia
isee
 
Nionavyo mimi CAG amekuwa mzalendo asiyetetereka kwa kusema ukweli!Ni wakati sasa wa watanzania kumuunga mkono Assadi ili kumtia moyo kwa kuwa jasiri!

#Assaditembeakifuambele

Patriotism means to stand by the country. It does not mean to stand by the president or any other public official, save exactly to the degree in which he himself stands by the country. It is patriotic to support him insofar as he efficiently serves the country. It is unpatriotic not to oppose him to the exact extent that by inefficiency or otherwise he fails in his duty to stand by the country. In either event, it is unpatriotic not to tell the truth, whether about the president or anyone else.​

Theodere Roosevelt
Huyu hawez kufanya kazi na dramatic leadership ya akina jiwe.Mchana wanaimba uadilifu usiku wanaimba mapambio ya kuwaibia watanzania kwa matumizi ya ovyo
 
Huwezi kumtetea mtu anayeivua nguo nchi akiwa nje ya nchi tenakwa rank yake hatufai kabisa.kama kuna shida na ripoti yake mbona taratibu ziko wazi kwa mujibu wa sheria.Serikali haiwezi kuwavumilia wote wanaichafua wakiwa huko nje kwa kisingizio Cha Uhuru wa kujieleza au demokrasia
Wewe hautufai unaetetea bunge lisilowajibika kwa nafasi yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nionavyo mimi CAG amekuwa mzalendo asiyetetereka kwa kusema ukweli!Ni wakati sasa wa watanzania kumuunga mkono Assadi ili kumtia moyo kwa kuwa jasiri!

#Assaditembeakifuambele

Patriotism means to stand by the country. It does not mean to stand by the president or any other public official, save exactly to the degree in which he himself stands by the country. It is patriotic to support him insofar as he efficiently serves the country. It is unpatriotic not to oppose him to the exact extent that by inefficiency or otherwise he fails in his duty to stand by the country. In either event, it is unpatriotic not to tell the truth, whether about the president or anyone else.​

Theodere Roosevelt
Which patriotic you spoken at....? Kusimama mbele ya nchi za watu na kueleza mapungufu ya nchi yako. ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom