Wazalendo ndani ya vyombo vya usalama simamemi sasa na nchi!!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,269
Reaction score
13,895
Kama wewe kweli ni mzalendo ndani ya vyombo vya usalama simama na katiba. Fuata kiapo chako sio boss wako umeapa kwa nchi na Mungu wako . Maboss wako ni binadamu jipimeni mnayo tumwa . Msikubali kuwa machine wakati nyie ni binadamu. Kataani kuiba kura, kunyanyasa watu na kudidimiza demokrasia
 
Mleta mada unaujua utamu wa kitumbua au unausikia tu. Hapa namaanisha aina yoyote ya kitumbua kama umewahi kukitumia.
Usicheze na utamu wa kitumbua na hasa cha kienyeji.
Kimya kimya utanyolewa hata kama ni usiku wa manane
 
Sisi pamoja na viongozi tunasema Oktoba Tuna tiki😁
 
Mleta mada unaujua utamu wa kitumbua au unausikia tu. Hapa namaanisha aina yoyote ya kitumbua kama umewahi kukitumia.
Usicheze na utamu wa kitumbua na hasa cha kienyeji.
Kimya kimya utanyolewa hata kama ni usiku wa manane
Utamu..? uliletwa duniani kula utamu, una akili ndogo wewe..huwezi kuandika hivi km una akili iko sawa!
 
Kabla ya kujibu you have to think and come up with analytical thinking, nilichokimaanisha ni utamu wa madaraka, madaraka matamu best yangu, kila mtu anaogopa kuachia nafasi yake , wenye uthubutu wa kufanya hivyo ni 1% ya watanzania kama balozi wetu.
Yaani uiache V 8 hivi hivi
Usipanic
 
Ulieleweka sijui kwa nini alikujia kivile
 
Kama wewe kweli ni mzalendo ndani ya vyombo vya usalama simama na katiba. Fuata kiapo chako sio boss wako umeapa kwa nchi na Mungu wako . Maboss wako ni binadamu jipimeni mnayo tumwa . Msikubali kuwa machine wakati nyie ni binadamu. Kataani kuiba kura, kunyanyasa watu na kudidimiza demokrasia
Wataje kabisa mkuu tuanze na JWTZ
 
Wazalendo wapi hao wanaochaguliwa na kina bibi chura kiziwi?. Hovyo kabisa.... Mzalendo namba moja ni raia wa kawaida ndio anaweza kuikomboA nchi yake na sio wanaokula kodi za raia!.
 
Kabla ya kujibu you have to think and come up with analytical thinking, nilichokimaanisha ni utamu wa madaraka, madaraka matamu best yangu, kila mtu anaogopa kuachia nafasi yake , wenye uthubutu wa kufanya hivyo ni 1% ya watanzania kama balozi wetu.
Yaani uiache V 8 hivi hivi
Usipanic
Balozi mwenyewe kaliachia dakika za jioooooni kabisa,maana amejua hata asipoliacha atanyang’anywa 🤣
 
Hao jamaa walisimama kidete Katiba ifuatwe baada ya ule msiba wa taifa halafu mnufaika wa hiyo katiba anasema ni kijitabu tu.😀😀

Sijui wanajionaje kwa sasa!!
 
Hivyo vyombo vya usalama vilishaingiliwa , ni magenge ya Kijani tu, Wala hawaingii au kupewa vyeo kwa sifa zingine zaidi ya uzalendo wao kwenye mbogamboga!
 
Kama wewe kweli ni mzalendo ndani ya vyombo vya usalama simama na katiba. Fuata kiapo chako sio boss wako umeapa kwa nchi na Mungu wako . Maboss wako ni binadamu jipimeni mnayo tumwa . Msikubali kuwa machine wakati nyie ni binadamu. Kataani kuiba kura, kunyanyasa watu na kudidimiza demokrasia
Aione IJP Wambura na polisi mnoko Murilo
 
Kama wewe kweli ni mzalendo ndani ya vyombo vya usalama simama na katiba. Fuata kiapo chako sio boss wako umeapa kwa nchi na Mungu wako . Maboss wako ni binadamu jipimeni mnayo tumwa . Msikubali kuwa machine wakati nyie ni binadamu. Kataani kuiba kura, kunyanyasa watu na kudidimiza demokrasia
Hawa jamaa ni mateka wa ccm, hawana tofauti na Raia wa kawaida. Kwa kifupi ccm imeteka Raia wote, vyombo vyote vya ulinzi na usalama pamoja na Taasisi zote za umma.
 
Back
Top Bottom