Wazalendo na wakuu mlioko juu kabisa

Wazalendo na wakuu mlioko juu kabisa

Lakini kwanini wakati wake haya hayakutokea??
Alikuwa bado anaujenga mfumo, moja ya mambo aliyoyafanya kuanzia alipomaliza uongozi wake, ni kuuwekea mizizi mfumo wake kwa kuwaondoa walikuwa wanazuia yale aliyokuwa akiyataka. Umenielewa?
 
Alikuwa bado anaujenga mfumo, moja ya mambo aliyoyafanya kuanzia alipomaliza uongozi wake, ni kuuwekea mizizi mfumo wake kwa kuwaondoa walikuwa wanazuia yale aliyokuwa akiyataka. Umenielewa?
Nimekuelewa mkuu
 
Alikua anahamasisha madaktari kugoma..na maana yake angepelekea watu kufa..jambo ambalo hata ungekua kwenye mamlaka ilibidi ulimboka apatee adabu
Mahakana zilikuwa likizo asipelekwe Hadi ang'olewe meno?
 
Back
Top Bottom