Wazalendo na wakuu mlioko juu kabisa

Wazalendo na wakuu mlioko juu kabisa

Aah, naam.

Inaonekana hamjui anampa busara asizo nazo.
Yeah inawezekana simjui..mimi namjua as Rais kwa kipindi chake..na hali ilivyokua...bwana kiranga sio kila mtu ana access ya kumjua kikwete vizuri
 
Yeah inawezekana simjui..mimi namjua as Rais kwa kipindi chake..na hali ilivyokua...bwana kiranga sio kila mtu ana access ya kumjua kikwete vizuri
Dokta ulimboka alitekwa na kungolewa meno kwa amri ya nani awamu ya nne?
 
Kagame atakuja kusema kigoma ni yake na ziwa Tanganyika ila alikuwa na mambo mengi kwaiyo kayaijia
 
nchi ikiwa imegawanyika..na raia wengi hawapendi mambo yanavyokwenda..na.wanakandamizwa..je? Haiwezi kua mwanya mzuri kwa maadui wa nje kupitia Humohumo kupitia kwa wananchi kuja kuingia nchi yetu kiulainiii kabisa huku wakipata sapoti ya wananchi??

Wa Tanzania hatuna mambo mengi..wala hawandamani kudai wapewe hela au bei za vyakula kua juu...wala hawana wivu mbaya na maendeleo ya watu..
ILA
UKANDAMIZAJI NDIO UMEFIKISHA HAPA

..HUKO JUU HIVI HAKUNA WATU KABISA WA KUKAA KAMATI ILIYOTIMIA ILI YAFANYIKE MAMBO YA RENCONSILIATION ILI WATU MIOYO IPONE..TUJIFUNZE KWENYE OCTOBER 29..KWAMBA YULE JOKA ALIYEYALALA KWA WAOGA AMEAMKA TENA AMECHAFUKWA HASWA..
MBINU ZIBADILISHWE ZA KU DEAL NA HIZI MAMBO..

MZEE KIKWETE KWANINI MBINU ZAKO ZA UONGOZI USISHAURI ZAMIKATUMIKA HAPA???

MAana baada ya magufuli kua madarani na life kua tight..ikaonekana bora utawala wa kikwete upande wa uchumi..lakini uwajibikaji ukawa bora upande wa magufuli...

Lakini UTEKAJI kwa kikwete ni kama haukuepo..mbali na kuwepo scandal za epa. Escrow..lakini ilionekana sii big deal kwakua amani ipo na mkate wa kila siku upo

HIvyo Wakuu msifikiri kwamba watz wanahitaji mambo mengi

FANYENI NAMNA KABLA WAKINA KAINERUGABA NA KAGAME HAWAJASEMA ZIWA VICTORIA..ZIWA TANGANYIKA NA BAHARI YA HINDI NI YAO ILA TU WALIKUAGA WAMESAHAU

Kuna wazAlendo kweli?
 
Yeah inawezekana simjui..mimi namjua as Rais kwa kipindi chake..na hali ilivyokua...bwana kiranga sio kila mtu ana access ya kumjua kikwete vizuri
Jielimishe basi.

Ukishindwa kusoma hata picha uone.
 
Dokta ulimboka alitekwa na kungolewa meno kwa amri ya nani awamu ya nne?
Alikua anahamasisha madaktari kugoma..na maana yake angepelekea watu kufa..jambo ambalo hata ungekua kwenye mamlaka ilibidi ulimboka apatee adabu
 
Hiyo ni topic..ndio.maana kuna wachangiaji..au wewe ni.mjuvi wa kila kitu??
Wewe ndiye mjuvi wa kila kifu ukiambiwa unakomaa mpaka sasa.

Hujui kuwa Kikwete ndiye bosi wake Samia na Samia mwenyewe kasema hili?

Unatumia ubongo au makamasi?
 
Wewe ndiye mjuvi wa kila kifu ukiambiwa unakomaa mpaka sasa.

Hujui kuwa Kikwete ndiye bosi wake Samia na Samia mwenyewe kasema hili?

Unatumia ubongo au makamasi?
Hilo nilisikia kweli..sio kwamba nakomaa..ila kama yeye ndio boss basi atumie style za zamani...halafu izo stress zako usilete hapa
 
Hilo nilisikia kweli..sio kwamba nakomaa..ila kama yeye ndio boss basi atumie style za zamani...halafu izo stress zako usilete hapa
Hakuna stress, wewe ndiye nyoronyoro tu huwezi straight talk.

Na mpaka sasa hujaelewa somo.
 
Back
Top Bottom