Wayahudi, Wafaransa na Wamoroko, du!

Wengine kitendo tu cha kumuua mnyama ili umle wanakiona ni kitendo cha kikatili.
kwa hiyo tuwale wazima wazima?
Au tule nyamafu? Au tuwe vegans?
if so, hata matunda na mboga tusichume
tusubiri yale yanayo jiangukia naturally
 
kwa hiyo tuwale wazima wazima?
Au tule nyamafu? Au tuwe vegans?
if so, hata matunda na mboga tusichume
tusubiri yale yanayo jiangukia naturally

Hata kumbikumbi tusubiri wajifie wenyewe!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom