Hizi ramli za kusema CCM inapukutika mlizipiga mwaka 2015 naona mmeanza tena kuzipiga kuelekea mwaka 2020.
Mtu asiyeifahamu CCM vizuri anaweza kujifariji kutokana na ujinga wake.
Wapembuzi wa masuala ya kisiasa wanafahamu CCM ya mwaka 2020 itakuwa imara zaidi ya ile ya mwaka 20215.
CCM ni zaidi ya chama cha siasa na nikisema zaidi ya chama cha siasa katika siasa za Afrika watakaojua maana yake ni wale wanaojua maana ya chama dola.
Endeleeni kujifariji!
Nakuambia kwa hii staili ya uongozi wa mwenyekiti wao watamalizana tu wenyeweSeriously anataka kuilinganisha ccm ya 1995 na ya sasa kwa hoja kwamba Mchonga aliisimanga? Zimwi likujualo halikuli likakwisha Mchonga asingekubali ccm ife
Mkuu TANU /CCM ni ile ile ya jana na juzi,alitoka katibu mkuu wa Tanu Oscar Kambona haikuangukaHapana kwasasa ccm ni majeruhi kuliko wakati mwingine wowote na hii inatokana na utemi wa mkulu wao kiburi na dharau
Wakati ni hakimu mzuri na hakuna kidumucho milele.... Wahenga walisema kamba hukatikia pembamba let's wait n see by the way karibu balimi.... Nimeamua kujinunulia zangu zile za noaMkuu TANU /CCM ni ile ile ya jana na juzi,alitoka katibu mkuu wa Tanu Oscar Kambona haikuanguka
Wakafukuzwa wabunge machachali zaidi ya 10 kwa mpigo akina Choga,Kaneno na wenzao haikuanguka.
Akatimuliwa Makamu wa Kwanza wa Raisi Aboud Jumbe na wenzake haikuanguka
Alijiondoa waziri Mrema akidai CCM sio baba wala mama haikuanguka
Horice Kolimba aliipaka paka matope kuwa CCM imekosa mwelekeo alikufa yeye kwenye mkutano,CCM ikazidi kudunda.
Kaondoka Edward Lowassa kwenye CCM na watu wake baada ya kukatwa jina CCM haikuanguka.
Kaondoka mmoja wenye hati miliki ya CCM Kingunge Ngombale Mwiru,CCM haikuanguka.
Na kuondoka light weight Mh.Nyalandu CCM ipo pale pale.
Siri ya CCM isianguke alizikwa nayo Mwl.Nyerere.
Mmmmmh!! Dalili za uchochezi na kufuatwa na Nissan nyeupe zinaendelea kuonekana.Seasonal migration kwenye ulingo wa siasa imeanza... Moja inafanyika kwa hiari na uamuzi binafsi nyingine ni nguvu ya shekeli na ahadi ya kazi na madaraka
Hongera Nyalandu Kwa kumchapa kofi yule mjamaa.. It was a very calculated timing....! Umefanya kusudi ili upime ubavu kati ya tukio lake na lako lipi litafunika... Lipi litapata kiki...![]()
![]()
![]()
siasa bhana.....!!!
CCM imepata pigo lingine jana.. Pigo kubwa... Ile hotuba imewasononesha wengi, kwamba wale wakazi 3000 waliovamia maeneo sensitive ya jeshi la polisi na jeshi la ulinzi pamoja uwanja wa ndege wasibomolewe nyumba zao kwakuwa MWANZA ndio walimpa kura..![]()
![]()
![]()
![]()
Kuna watu wamepata kinga ya kutochukuliwa hatua za kisheria kwakuwa tu walimpa mkulu kura... Poleni ccm... Kiza kimetanda ndani ya chama... Na hakuna mwenye nyongo ya kuongea tena! Mwigulu na Kinana wanajua vema
Mchoko na kukata tamaa sasa ni dhahiri shahiri ndani ya chama dume na wenye kujitambua wameanza kuchukua hatua mapema....
Kujitenga na giza. Ukiachana na kizungumkuti cha uchaguzi 2020 kama utakuwepo ama la., lakini ccm itapukutika wanachama wake mahiri kuelekea 2020 na hawatakuwa na kimbilio lingine zaidi ya CHADEMA japo na mapandikizi yatakuwepo
Kuna tofauti kubwa ya mapenzi ya kweli hata kama mtu alikuwa changu na mapenzi ya pesa hata kama mtu alikuwa mlokole... CHADEMA itashutumiwa sana kupokea mafisadi, kupokea watuhumiwa wa kashfa mbalimbali, kupokea wachafu wa ccm... Lakini najua hawatayumba kwakuwa ufalme umefitinika....
Ulemavu uliopatikana Zenji mpaka leo hujapatiwa dawa, haina haja ya kuandika kinachoendelea Zanzibar maana nao ni uchochezi usiopendeza, acheni maneno tujenge nchi yetu.Mkuu TANU /CCM ni ile ile ya jana na juzi,alitoka katibu mkuu wa Tanu Oscar Kambona haikuanguka
Wakafukuzwa wabunge machachali zaidi ya 10 kwa mpigo akina Choga,Kaneno na wenzao haikuanguka.
Akatimuliwa Makamu wa Kwanza wa Raisi Aboud Jumbe na wenzake haikuanguka
Alijiondoa waziri Mrema akidai CCM sio baba wala mama haikuanguka
Horice Kolimba aliipaka paka matope kuwa CCM imekosa mwelekeo alikufa yeye kwenye mkutano,CCM ikazidi kudunda.
Kaondoka Edward Lowassa kwenye CCM na watu wake baada ya kukatwa jina CCM haikuanguka.
Kaondoka mmoja wenye hati miliki ya CCM Kingunge Ngombale Mwiru,CCM haikuanguka.
Na kuondoka light weight Mh.Nyalandu CCM ipo pale pale.
Siri ya CCM isianguke alizikwa nayo Mwl.Nyerere.
Zilipopigwa 2015 ushindi wa JK wa 70% ulishuka mpaka 58% kwa Magu plus wizi wa kura sasa zinapigwa tena tukitoa tena 12% hope you know what I meanHizi ramli za kusema CCM inapukutika mlizipiga mwaka 2015 naona mmeanza tena kuzipiga kuelekea mwaka 2020.
Mtu asiyeifahamu CCM vizuri anaweza kujifariji kutokana na ujinga wake.
Wapembuzi wa masuala ya kisiasa wanafahamu CCM ya mwaka 2020 itakuwa imara zaidi ya ile ya mwaka 20215.
CCM ni zaidi ya chama cha siasa na nikisema zaidi ya chama cha siasa katika siasa za Afrika watakaojua maana yake ni wale wanaojua maana ya chama dola.
Endeleeni kujifariji!
Unajua CCM wao wanadai kutawala miaka elfu,nimeshuhudia siasa za CCM at across road 1995,tukiamini wanakwenda na maji,wapi wakajikongoja hao tena wakarudi magogoni.Wakati ni hakimu mzuri na hakuna kidumucho milele.... Wahenga walisema kamba hukatikia pembamba let's wait n see by the way karibu balimi.... Nimeamua kujinunulia zangu zile za noa
Kma mko imara mnaogopa nni ssa kuruhusu mikutano ya kutafuta wanachama wapya na kwanni hamuweki tume huru ili mshinde kweupe!Hizi ramli za kusema CCM inapukutika mlizipiga mwaka 2015 naona mmeanza tena kuzipiga kuelekea mwaka 2020.
Mtu asiyeifahamu CCM vizuri anaweza kujifariji kutokana na ujinga wake.
Wapembuzi wa masuala ya kisiasa wanafahamu CCM ya mwaka 2020 itakuwa imara zaidi ya ile ya mwaka 20215.
CCM ni zaidi ya chama cha siasa na nikisema zaidi ya chama cha siasa katika siasa za Afrika watakaojua maana yake ni wale wanaojua maana ya chama dola.
Endeleeni kujifariji!
Wakati utaamua hata mbuyu hauangushwi kwa shoka Moja kinachoifanya ccm iendelee kupumua ni mbinu chafu na michezo ya hila na sivinginevyoUnajua CCM wao wanadai kutawala miaka elfu,nimeshuhudia siasa za CCM at across road 1995,tukiamini wanakwenda na maji,wapi wakajikongoja hao tena wakarudi magogoni.
2015 ilikuwa near miss bado wakadaka penalti wamechukua tena nchi.
Ukishafanya kosa la kujiondoa CCM nyota yako inafutika
Mkuu labda ndani ya CCM kuna Aliens toka sayari nyingine.
Sina jibu
Mimi naona umekurupuka. Kila mkoa ndani Tanzania una manufaa kwa Taifa zima. Tunachozungumzia hapa na kuhoji kwa nini wengine Watanzania hawahawa wavunjiwe nyumba mbali na zuio la mahakamani na mkulu anadiriki kusimama na kusema Mwanza wasibomolewe kwa vile walimpigia kura. Huu ni upuuzi kuligawa Taifa kiasi hiki. Basi asubiri 2020 Mwanza mumpigie kura tena na mikoa iliyobakia wampigie mpinzani wake halafu tuone. Yeye ni rais wa Tanzania sio wa Mwanza tu suck it in your brain!Endelea kuumia, utaelewa baadaye Mwanza ni zaidi ya maumivu. Ni kitovu cha uchumi tangu enzi ya wagerumani . Pamba, Samaki, Ng'ombe, Madini, etc vyote vinatoka Kanda ya Ziwa . Achia population kubwa ya nchi inatoka Kanda ya ziwa. Utulivu na Amani ya nchi inatoka Kanda ya Ziwa, na mwisho baba wa mji anatoka Kanda ya Ziwa. Unaumia nini sasa?
Usipate shida best wengine wanaandikiwa kisha wapostMimi naona umekurupuka. Kila mkoa ndani Tanzania una manufaa kwa Taifa zima. Tunachozungumzia hapa na kuhoji kwa nini wengine Watanzania hawahawa wavunjiwe nyumba mbali na zuio la mahakamani na mkulu anadiriki kusimama na kusema Mwanza wasibomolewe kwa vile walimpigia kura. Huu ni upuuzi kuligawa Taifa kiasi hiki. Basi asubiri 2020 Mwanza mumpigie kura tena na mikoa iliyobakia wampigie mpinzani wake halafu tuone. Yeye ni rais wa Tanzania sio wa Mwanza tu suck it in your brain!
But if you can not defeat them,you join them!!Wakati utaamua hata mbuyu hauangushwi kwa shoka Moja kinachoifanya ccm iendelee kupumua ni mbinu chafu na michezo ya hila na sivinginevyo
Kamba hukatikia pembamba... Misri ya Hosni Mubarak ilitikiswa na wanasiasa nguli tena machachari sana lakini ikaja kuangushwa na kijana hohehahe asiyejulikana hatamtu aliekua au niseme anaependwa sana kati ya wanasiasa wa tanzania alihama CCM 2015 chama kiliyumba lakini hakikuanguka . impact ya nyalandu sio kubwa sana hili ni vuguvugu hasa kwenye mitandao kuna wanakijiji huku tandahimba wananiuzia korosho hawajui hata nyalandu ni nani . CCM ni zaidi ya tuijuavyo na kuiangusha yahutaji mageuzi makubwa ya kimkakati ndani ya upinzani .
je watanzania tunayo hio spirit ya kina kibanga? ccm inashinda kwa michezo michafu unafikiri michezo misafi inaweza kusaidia upinzani kushinda ?Kamba hukatikia pembamba... Misri ya Hosni Mubarak ilitikiswa na wanasiasa nguli tena machachari sana lakini ikaja kuangushwa na kijana hohehahe asiyejulikana hata