Ni vizuri sana umejijibu mwenyewe. Kama ilishindikana huko nyuma kipi kinakupatia nafasi kudhani wataweza wakati huu? Ubaya wa upinzani ni kwamba hawapo wamoja na hakuna nidhamu lakini wenzao CCM pamoja na ubaya wao wapo kama mafia hawacheki na ujinga inapokuja kuki save chama chao. Lowasa alikua na watu wengi sana wakati wa mchujo mpaka waliimba Lowasa sema, walipokemewa walikaa kimya. nani alimfuata Lowasa CDM? Ningependa sana CCM isambaratike lakini moyo unaona bora hili jini tulijualo kuliko watu kama CDM wasiokua na msimamo leo wanamsema mtu ni fisadi kesho wanampakata.