Wax ina shepu na wavaaji wake bana

Wax ina shepu na wavaaji wake bana

Umeona eeeh mkuu mshana jr jamaa ana simu kali wakati sisi tuna za mafungu za elfu tatu tatu



Mkuu MO11 itabidi tutafute dawa ya kutoangalia hizi mambo aise maana zinatupa shida sana aise


Mkuu utafiti hebu kuja kipande hii umpe mshana jr sababu za kuuza simu yenye madude dude ya kiinglish
Mr Rocky pesa ya escoro imeliwa na wengi mno amini usiamini
 
Last edited by a moderator:
Jamani nilikuwa wapi mie wakati wenzangu wanapewa???

Mmmmm , mkono na shavu langu...

1417180120582.jpg
 
akaguliwe huyo usikute huo mzigo umeficha pesa za ESCROW
 
Mzigo kama huo akitaka kuchamba chooni,,, lazima iishe ndoo nzima ya lita 20 ya maji,,,,,,,teh
 
Back
Top Bottom