Mabibi na mabwana nawakumbusha tu

Mabibi na mabwana nawakumbusha tu

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
1,549
Reaction score
3,899
Mwanamke huwezi pata mwanaume mwenye hizi sifa zote kwa pamoja yani mwanaume mwenye pesa,mwenye upendo,msikilivu,mwenye muda na ulomantic kwapamoja. Pia wawanaume wenzangu hatuwezi pata mwanamke mwenye sifa hiizi zote kwa pamoja mwanamke mrembo mwenye shepu,mlezi na mwalimu bora,msikivu,mvumilivu,msaidizi,mnyenyekevu,mwenye akili timamu (hawa watu hawapo dunia hii ndiomaana msingi wa ndoa ni mvumilivu)
 
Ukimlomba vizuri, kumpa pesa, kumsifia urembo wake, kuzingatia Kila kitu bado atakuacha kama mke wa Ricardo kaka sijui wanataka nn, ukiwa mwema anatafuta mtiti

Kuna comment nilisomaga humu kitambo kwamba mwanamke kumuweza usimpe nafasi yan tukio baada ya tukio mixer mimba kila akikata kunyonyesha. Yan mfanye awe kwenye position ya kupigania ndoa yake kuja kushtuka kavuka 40 na umri wa kukukuruka umeisha kawa mtu mzima. Makes sense? 🤔
 
sio vurugu ila huo ndo ukweli☺️

yeah ni kweli warembo wapo wengi ni mwendo wa kuwa real tu
Hata kwa Mwanaume.
Wa hivi wako wengi. Na wengne zaid ya hivi
mwanaume mwenye pesa,mwenye upendo,msikilivu,mwenye muda na ulomantic kwapamoja

Actually hizi vigezo ni vichache. Ni vya kawaida sana.

Labda pengne sijui ni Kwa ukubwa gani anaongelea hapo kwenye pesa, muda , upendo na Uromantic.
 
Hata kwa Mwanaume.
Wa hivi wako wengi. Na wengne zaid ya hivi

Actually hizi vigezo ni vichache. Ni vya kawaida sana.

Labda pengne sijui ni Kwa ukubwa gani anaongelea hapo kwenye pesa, muda , upendo na Uromantic.
labda anamaanisha pesa nyingi na uromantic kama wa kwenye tv😅
 
Hivi ni kwamba huwezi kuandika ukiwa umetulia, ukazingatia alama za uandishi na kupanga aya zako vizuri?
 
Back
Top Bottom