Mwenye PANONE ni Riz1 na
petrol station nyingi zina supermarket huyu mtoto ni fisadi mbaya kabisa
na madawa ya kulevya...
Lema komesha ujambazi na mauaji Arusha.
Mwenye PANONE ni Riz1 na petrol station nyingi zina supermarket huyu mtoto ni fisadi mbaya kabisa na madawa ya kulevya...
Kuna habari zimeenea mjini hapa Mkoani Kilimanjaro kuwa mfanyabiashara Maarufu wa mafuta na vipuri vya magari Anayemiliki kampuni Ya PANONE amefariki kwa kupigwa risasi mkoani Arusha bdo ni tetesi kama ni kweli wenye taarifa zaidi watujuze
Acha ubishi wewe Riz yupo ndani ya PANONE na Amenunua state hapo maili sitasio kweli Ngiloi hana ubia na Riz1, ngiloi ameanza ujasiriamali kwa muda mrefu sana pengine Riz akiwa bado yupo shule! Tusiwe na wivu wa kike kuona mtu hawezi kuendelea bila kuwezeshwa! Kesho mtasema Bilionea Laswai wa Moshi pia anawezeshwa na Riz 1
Nasikia Matajiri hao wanaokufa walikuwa wanakipa support chama fulani cha siasa, sasa baada ya kujitambua kuwa wanatumiwa,Chama hicho kinawamaliza kwa njia za kigaidi.
Source: Kilimanjaro.
Mwambie kikwete azuie usalama wa taifa kufanya ugaidi
Kwa hiyo Lema ameshakuwa AMIRI JESHI MKUU.
Msiwe mnatafuta sababu na mahali pa kukwepesha/kusukumia matatizo ambayo kimsingi ni jukumu la Serikali kuyatafutia ufumbuzi. Tunakoelekea sasa naona inazidi kudhihirika wazi kuwa Serikali imeshashindwa kutekeleza mambo muhimu na ya msingi kwa Watanzania
Uliyosema kwa kiasi kikubwa ni kweli
KATI YA MIPANGO YA SIRI YA KUIMALIZA CHADEMA WANAOJINADI NAO WASIRA NA MWIGULU NA WATU WA USALAMA WA TAIFA ..UPO NA TASK FORCE
1] KUPAKA MATOPE....
2]KUWEKA VIONGOZI WA CHADEMA BUSY NA KESI MAHAKAMANI..
3]KUDHIBITI MIKUTANO
4]MKAKATI WA BUNGENI..[IKIWEMO JARIBIO LA KUZUIA BUNGE KUONESHWA LIVE...NA KUZUIA VYOMBO VYA HABARI KURUSHA LIVE]
5] KUWASHUGHULIKIA WAANDISHI NA MAGAZETI AU VYOMBO VYA HABARI VINAVYOEGEMEA WAPINZANI
6]KUDHIBITI NA KUWAONDOA WAFADHILI WA CHADEMA .......
Wananchi wa kanda ya kaskazini tayari wameingiwa na hofu kubwa ...kutokana na kufa kwa wafanya biashara katika mazingira ya ajabu....
Nyagga Mawalla...alikuwa mwana ccm lakini katika miaka ya karibuni alikuwa mfadhili mkuu sana wa Chadema pale Arusha...,na katika siku za mwisho za uhai wake alikuwa na hofu kubwa ya kifo....ni mwaka huu ambapo aliwapa WAKAZI wa arusha kupotia Arusha Development Fund ..taasisi ya chadema ..kiwanja cha dhamani ya milioni 500 kwa ajili ya kujenga hospitali ya wazazi....
Zaidi ya hapo pia alikuwa mshauri wa kisheria na uwekezaji wa familia ya Freeman Mbowe...na matajiri wengi.
Babu Sambeke ...alikuwa mchangaji mkubwa wa Chadema pale Moshi.....
Nyitti ambaye alifariki katika mazingira ya kutatanisha morogoro ....alikuwa rafiki mkubwa wa Lowassa na baada ya kuona Lowassa anaonewa ndani ya CCM....alianza kuichangia Chadema kwa siri .....
Inahisiwa kuwa kuna mkakati wa kuwamaliza kwa namna mbali mbali wafanyabishara wanaofadhili CHADEMA....hii imeleta hofu kubwa na SIO MZAHA!!!!!!
Sijui itakuwaje kama mikakati yote ya CCM itagunduliwa ...nadhani hadi mwakani wataanza kutumia nguvu...wazi wazi...
Mkuu huo utajiri unapatikana wapi? Nielekeze mkuu, nimeshachoka na maisha ya kimasikini, nimechoka kulala kwenye mabox Kariakoo...
Hivi mauaji yakitokea sehemu mbunge wa sehemu husika kuna ubaya naye akijitokeza kupambana na hali hiyo.
Kwnn Jk hakuzuia wale Twiga?Hivi mauaji yakitokea sehemu mbunge wa sehemu husika kuna ubaya naye akijitokeza kupambana na hali hiyo.
Hivi mauaji yakitokea sehemu mbunge wa sehemu husika kuna ubaya naye akijitokeza kupambana na hali hiyo.
KATI YA MIPANGO YA SIRI YA KUIMALIZA CHADEMA WANAOJINADI NAO WASIRA NA MWIGULU NA WATU WA USALAMA WA TAIFA ..UPO NA TASK FORCE
1] KUPAKA MATOPE....
2]KUWEKA VIONGOZI WA CHADEMA BUSY NA KESI MAHAKAMANI..
3]KUDHIBITI MIKUTANO
4]MKAKATI WA BUNGENI..[IKIWEMO JARIBIO LA KUZUIA BUNGE KUONESHWA LIVE...NA KUZUIA VYOMBO VYA HABARI KURUSHA LIVE]
5] KUWASHUGHULIKIA WAANDISHI NA MAGAZETI AU VYOMBO VYA HABARI VINAVYOEGEMEA WAPINZANI
6]KUDHIBITI NA KUWAONDOA WAFADHILI WA CHADEMA .......
Wananchi wa kanda ya kaskazini tayari wameingiwa na hofu kubwa ...kutokana na kufa kwa wafanya biashara katika mazingira ya ajabu....
Nyagga Mawalla...alikuwa mwana ccm lakini katika miaka ya karibuni alikuwa mfadhili mkuu sana wa Chadema pale Arusha...,na katika siku za mwisho za uhai wake alikuwa na hofu kubwa ya kifo....ni mwaka huu ambapo aliwapa WAKAZI wa arusha kupotia Arusha Development Fund ..taasisi ya chadema ..kiwanja cha dhamani ya milioni 500 kwa ajili ya kujenga hospitali ya wazazi....
Zaidi ya hapo pia alikuwa mshauri wa kisheria na uwekezaji wa familia ya Freeman Mbowe...na matajiri wengi.
Babu Sambeke ...alikuwa mchangaji mkubwa wa Chadema pale Moshi.....
Nyitti ambaye alifariki katika mazingira ya kutatanisha morogoro ....alikuwa rafiki mkubwa wa Lowassa na baada ya kuona Lowassa anaonewa ndani ya CCM....alianza kuichangia Chadema kwa siri .....
Inahisiwa kuwa kuna mkakati wa kuwamaliza kwa namna mbali mbali wafanyabishara wanaofadhili CHADEMA....hii imeleta hofu kubwa na SIO MZAHA!!!!!!
Sijui itakuwaje kama mikakati yote ya CCM itagunduliwa ...nadhani hadi mwakani wataanza kutumia nguvu...wazi wazi...
Kwani hizi Panone si ni mali ya Riz1? Au ndio kafa?
Hapana Ridhiwani ndio mwenye hisa kubwamwenye hisa kubwa panone ni patric ngiloi
It either unaandika kwa hisia au, tayari weekend imeshaanza, mkuu hizi ni hadithi tu za mtaani, vifo vipo, ila kutokana na kuwepo kwa utandawazi unaweza kuona mambo ya ajabu sana kutokea, mkuu halli ya usalama kwa Arusha ni tete tokea zamani, mambo kama haya mnayaleta nyie wageni wa mkoa na kutaka kupotosha watu na kujenga hoja potofu, njoo na ushahidi wa kutosha kabla ya kuandika kama mlevi