Wawezaje wewe kusubiri


Kwa msaada wa Mungu tunashinda ya dunia.
 
Ha ha ha!!!! Isijekuwa umekuwa mcongo siku hizi... nzambe na ngai....maana wale kwa saluni hawajambo....ila ntakujulisha ..mimi na wewe tena!!!

taa anakola Zion Daughter, kopesa moto nyoso elikia naye...hahahah
yaani hapo wangu nimekufagilia sanaaaa...nimekumis sana ujue!!!
 
taa anakola Zion Daughter, kopesa moto nyoso elikia naye...hahahah
yaani hapo wangu nimekufagilia sanaaaa...nimekumis sana ujue!!!

Duu.itabidi nitafute kamusi ya kicongo..
Me too nimekukosa na bahati nzuri leo sitahudhuria kikao hivo ntaendelea kukumisi..
 
Duu.itabidi nitafute kamusi ya kicongo..
Me too nimekukosa na bahati nzuri leo sitahudhuria kikao hivo ntaendelea kukumisi..

Nitakutafutia kamusi moja ya Kilingala, utasoma vile watu wa Lubumbashi, Kivu, Kinshasa, Katanga wanaongea...
Hata mie huko sipo.
 
siju ulitaka kuzungumzia style gani ya nywele na zipi zinapatikana katika salon yako hebu cheki hapa na hii je waonaje kuna mbunifu anaweza kukata hivyo na hapa je nadhani hapa ataweza lakini hapa sijui kama ataweza au wewe ndo mbunifu wa style mbalimbali za nywele ona hii acha nikupe na hii najua kidogo utadumu pokea zawadi ayako hii hiyo ni sabuni arier ili uweze kuwatoa mba wateja wako watakapokuja hapo salon mmojawapo mie
Pindi utakapoamua kusuka ama kunyoa naomba unitafute...ninamiliki saluni y wamama na wababa.
Halafu ukitaka kusuka nitakusuka kama ule mtindo uliosuka siku ya White Party!!!
 
umekuwa mshauri nasaha kama Mentor, mbona mm unishauri nipunguze povu mdomoni mwangu
naenda lunch karibu msosi best
tukwaghanilaga
Mpwa hiyo kazi nitaifanya pasipo kuchoka...
 
Last edited by a moderator:
kwani ulifikiri ladyfurahia na Smile ni wapiganaji wa aina gani ni kama mike tyson, au muhamed allii, basi kama unadhani ni kama hao umepotoka sie wapiganaji wa kutetea haki za wanawake wa humu jf wanaonyonywa na kuonewa nanyinyi mababa na makaka wa humu mjengoni watu8
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…