Wakuu hali nchini kwetu inatisha. Kuna mwekezaji ambaye ni Mwingereza, amefungua ofisi maeneo ya Masaki. Baada ya kukodi ofisi, TRA walimfuata alimpe Ushuru kabla ya kuanza kazi na hii ikawa ni kama Millioni 1.2 corporate tax. Akalipa, baada ya muda mfupi, mwekezaji huyu akatuma vifaa vyake (container 40) ambayo ilimgharimu $17,000 kutoka Uingereza hadi Dar.
Kufika Dar, TRA walifanya assessment ya kwanza ikawa $4000, baada ya kulipa, wakafanya assessment ya pili, na kumpa bili ya $ 8,400. Mzungu katoa vitu vyake. Baadae katuma vitu kidogo, yaani accessories kwa DHL. Alitumia $238 kuzisafirisha, lakini baada ya bidhaa hizi kufika airport, TRA wakampiga ushuru wa millioni Tsh. 1,205,000. Baada ya hapo mambo yakawa magumu sana, na wafanyakazi 6 alokuwa nao wa kitanzania, ameamua kufunga ofisi yake baada ya miezi 6 Tanzania. Hii ndio Tanzania !