Wavuvi wapigwa risasi bahari ya Hindi

Wavuvi wapigwa risasi bahari ya Hindi

Itisha gwaride la utambuzi tuamini kuwa askari wako hawahusiki, sehemu zingine askari ni watetezi wa raia wa nchi husika hapa kwetu ni kinyume
Mkuu kwani aliemtolea bastola Nape alishaonekana? na kama alionekana hatia zipi alichukuliwa?
Wanajua wenyewe wanakotupeleka! Sitoshangaa... Wanaodhaniwa wakadhaniwa tena kama ambavyo Marehemu aliyepigwa risasi ikaandikwa taarifa amepata ajali, bado jamaa zetu wanashangilia kana kwamba boti zile za wavuvi zilikuwa na bendera za vyama wasivyovipenda! Hivi wavuvi wanapouza samaki huwa wanauliza kadi au wanauza kivyama?

Mungu Ibariki Tanzania... Hekima, Umoja na Amani.
 
Pamoja sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya wavuvii wamelaani kitu kinachoitwa opert huku kamishna WA polisi kikosi cha wanamaji akikana polisi kushiriki opertn hioo

Baadhi ya wavuvi wanasema walisimamishwa zaidi ya Massa manne bila kuelezwa tatizo huku wakiwa NA vibali vyote...........

Wakiongea kwa huzuni badhii ya wavuvi wamelalamikia hali iliotokeanhuku wakisema kama awako kwenye nchi yaooo....

Bada ya tukioo hiloo waliekeaa ofisi za MKUU WA kituo cha polisi ambae aliwasiliana NA Kamishna WA kikosi cha wanamaji ambae amekataa kabisa kuwepo ktk ops hioo NA kusema walioshiriki sio polisi.
Itakuwa maharamia wa kisomali basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi tu.... km unazo leseni kwa nini usioneshe.....

Na unaondoka kizembe na boti halina speed na haujamalizana na wakuu .. unategemea nin??

Sent from "La -Vista"
 
Back
Top Bottom