Aliexpress agiza Vitu vya china, vitu vya nje ya China pia unaweza pigwa mchana kweupe.Kununua hizo simu za brand kubwa kariakoo kuna asilimia kubwa sana ya kupigwa.
Kule ni kwa kununua simu za kichina hizi, tecno, infinix, redmi,itel nk
Hizo nyingine ni bora uagize ebay, aliexpress nk
Tafuta duka zuri, haijalishi location ni wapi, Ukienda Tigoshop Kariakoo huwezi pigwa.Bora nikapigwe kwingine lakini kariakoo na makumbusho siwezi kununua simu maeneo hayo
Kununua hizo simu za brand kubwa kariakoo kuna asilimia kubwa sana ya kupigwa.
Kule ni kwa kununua simu za kichina hizi, tecno, infinix, redmi,itel nk
Hizo nyingine ni bora uagize ebay, aliexpress nk
Kununua hizo simu za brand kubwa kariakoo kuna asilimia kubwa sana ya kupigwa.
Kule ni kwa kununua simu za kichina hizi, tecno, infinix, redmi,itel nk
Hizo nyingine ni bora uagize ebay, aliexpress nk
Hivi hawa majamaa wanaouza simu ila ukienda sukani unakutana na macover na charger tu badala ya simu, je kuna usalama au ndio ukijichanganya unapigwa?
kama ujui kununua chochote tafuta mtaalamu wa kununulia.ijalishili simu,gari,nyumba,ardhi na mengine.
ujuwaji unaponza sana .
kuna kipindi nilijifanya nataka kununua gari kilichonitokea niliuza bila kupenda tena bei ya chini
Simu huwa unanunua wapi?Bora nikapigwe kwingine lakini kariakoo na makumbusho siwezi kununua simu maeneo hayo
Ni kweli mkuu. Manunuzi ya online ni kuwa makini, kuzingatia bei pamoja na rate za muuzaji. Kama alivyosema Chief-Mkwawa ali express ni vyema kuitumia kwa vitu vya kichina, hizi simu brand ukizikuta aliexpress bei yake tu inakushtua maana ni kubwa kuliko hata zilizopo Bongo Tanzania.Ni afadhali ebay na amazon mkuu alie express sijui alibaba unapigwa kama kawa huko ndo wamejaaa matapeli.
Na wanaongoza kwakuuza vitu feki..