Wauza uduvi jijini Dar hatarini kuolewa!

Wauza uduvi jijini Dar hatarini kuolewa!

😂😂😉😍😘🤩😘😍🤩
Kwa hiki umeandika, una uhakika akili yako imeunganika na kinywa chako?
😂😁😃😉😉😉😉😉
Umenikumbusha huu wimbo tuliimba zamani

Tazama ramani utaona nchi nzuri!!!
............................................................
Huo ubet wa kwanza.

Halafu kibwagizo
NASEMA KWA KINYWA HALAFU KWA KUFIKIRIII!!!!

My note.
Yawezekana kuna disconect kati ya kinywa na akili. Ameona tu uduvi na watu kaja kupost
 
Huyu jamaa naye aangaliage vya kuongea mbele za umati, kwani hajui kuwa watanzania hatupendi kuambiwa ukweli, watanzania tunataka utuelewe tu hata kama sisi wenyewe hatujielewi
Muuza uduvi (Wa-Kiume) aolewe na nani?
 
Ila kweli Maskini akipata matako hulia mbwata...

Kisa yeye kalamba Teuzi na Kielimu chake cha kudesa.

Alikuwa na ulazima gani wa kuwasema wauza uduvi.

Angeishia tu kusema Mwanaume pambana fanya kazi kwa bidii ingetosha
 
Back
Top Bottom