SOGHOO
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 1,268
- 568
mkuu nielekeze nije kesho jioni sawa
Falcon usimueleze Lukelo ilipo Casablanca maana kaoa juzi. akishuka kule chini thamani ya papuchi itakua imeshuka sana ataacha mke. Labda aende Royal Courts wakati mama anajiandaa kulala yeye ashuke pale chini ya Royal mle mle ndani. mama kama sio shapu anaweza asijue pale kuna watu wanafanya dhambi. kesho nitampeleka Lukelo Mtwapa nimjulishe kwamba Dar vyangu wote walokole. Kuna tajiri mmoja bongo alikwenda Mtwapa aliporudi home mabasi yake akayabadili jina na kuyaita MOMBASA RAHA