Wauza sura Mlimani City

Wauza sura Mlimani City

casablanca ndio mambo yote,florida mama ngina avenue nyerere avenue sehemu za kuvuta shisha

Casablanca nilishakunywa pale juu kuna mwanamke wa kijaluo anacheza kuanzia saa moja mpaka sita nonstop. nikashuka chini nikalipa elfu tatu nikatizama wale watatu walio uchi wa mnyama baadae.........nitaharibu watanzania ngoja niachie hapa
 
Nikipigwa sana na jua lazima nika cool off then narudi tena kupigwa jua. Usifanye mchezo AC ya bure.
 
Casablanca nilishakunywa pale juu kuna mwanamke wa kijaluo anacheza kuanzia saa moja mpaka sita nonstop. nikashuka chini nikalipa elfu tatu nikatizama wale watatu walio uchi wa mnyama baadae.........nitaharibu watanzania ngoja niachie hapa

endelea kaka uwafundishe wasiojua kula bata,vipi mtwapa ulifika ukaona wasagaji na mashoga wanavyojiachia mchana kweupeee wanapigana mate,huyu lukelo sakafu aje huku asafishe macho
 
endelea kaka uwafundishe wasiojua kula bata,vipi mtwapa ulifika ukaona wasagaji na mashoga wanavyojiachia mchana kweupeee wanapigana mate,huyu lukelo sakafu aje huku asafishe macho

mkuu nielekeze nije kesho jioni sawa
 
mkuu kama umewaitoka nje ya Tanzania utaona wenzetu wana sehemu nyingi kama hizo ambapo watu hutembelea si lazima kununua vitu ila kuangalia kama window shoping pia hatuna sehemu za ku refresh hasa wknd inapofika kama gardens kwa ajili ya kupumzikia na kadhalika
 
Hata hapa Nanjirinji naona hayo mambo yapo
 
Back
Top Bottom