Wauza sura Mlimani City

Wauza sura Mlimani City

lukelo sakafu

Picha kwa hisani ya kuku87
avatar129621_1.jpg

Umeona eeeeehhhh
 
Last edited by a moderator:
Kwenda pale siyo lazima awe na issue ya maana hata kuangalia tu inatosha bro,
 
Hiyo kawaida tu hata mikoani majority wanaamini mahala bora ni Dar es salaam tu na ndio maana wanakuja wengi hapa bila shughuli yeyote ya maana!
 
Bila shaka wewe lazima utakuwa mteja wa wauza sura.
 
sasa sisi tufanyaje kama wao wanauza sura ??

nimesoma posts zooote nione kama kuna ambae ametaja hata bei ya hizo sura sijaona, labda mleta mada atarudi tena atutajie bei ya hizo sura.
 
Mabrazamen ana masista du watakupinga ila ulichokiongea kina ka ukweli flani
 
Duh yaan yamezid inabid waweke kadi za kulipia kama magari mtu anakaa asubuhi mpaka jioni amna anachonunua afu yanakaaa yanailaumu serekal pumbalfuuuuuuu
 
Hii nchi huru jamani.
Let them have fun.
Wee mtoa mada kinakuuma nini???????
 
Siku hizi pale Mlimani city kuna tozo la parking ya magari hivyo watabadilika tuu
 
Back
Top Bottom