wanaenda kunua dawa ya mswaki au sabuni ya kuogea lol kwa mangi zimeisha.
wengine huzuga kuwa no windowshop
jamani nimegundua watu wengi wanaoenda mlimani city wanakua hawana issue ya maana zaidi ya kwenda kuuza sura, iko hivi ukifika mlimani city utawakuta mabrazamen na masista duu kibao wanatembeatembea tu bila mpango wowote atashangaa hiki mara kile atakaa chini anapiga miayo ya njaa mara atajifanya yupo bize na kismart phone cha mchina kumbe hakina salio lolote,baada ya muda watanunua ice cream za watoto watalambalamba. wakimaliza kuuza sura wataondoka zao. wakuu mkitaka kuamini nendeni mlimani city mtawaona .jamani nendeni mlimani city mkiwa na issue za maana na sio kuuza sura tu.
hata mimi huwa na enjoy kwenda kuzugazuga pale, kila mtu na starehe yake
Mimi kiukweli japo siishi Dar lakini hujisikia raha sana siku za weekend kwenda kuzurula hata kama nina elfu moja ya maji. Kukaa mfano dukani siku 6 ni sawa na jela hivyo katika wauza sura na Mimi ongezea.
ndoroooboooo....
ndoroooboooo....
Jamani nimegundua watu wengi wanaoenda Mlimani City wanakuwa hawana issue ya maana zaidi ya kwenda kuuza sura.
Iko hivi, ukifika Mlimani City utawakuta mabrazamen na masista duu kibao wanatembeatembea tu bila mpango wowote atashangaa hiki mara kile atakaa chini anapiga miayo ya njaa mara atajifanya yupo bize na kismart phone cha mchina kumbe hakina salio lolote,baada ya muda watanunua ice cream za watoto watalambalamba.
Wakimaliza kuuza sura wataondoka zao.
Wakuu mkitaka kuamini nendeni Mlimani City mtawaona .
Jamani nendeni Mlimani City mkiwa na issue za maana na sio kuuza sura tu.
mkuu au ndio mambo ya kukuza utalii wa ndani
Bwana harusi umerudi. Habari za mwezi asali bro? tupiamo selfie moja tuone ulivyomeremeta
kumbe unaelewa mkuu...halafu mwisho wa siku unakuta umenunua hata crisps na kasoda...tayari unakua umechangia
hujui maana ya kurelax wewe
sasa sisi tufanyaje kama wao wanauza sura ??
ndio mkuu nimerudi sio siri niliwamis sana member wenzangu ila usijali nitatupia za kutosha mkuu utaona mwenyewe kifupi ilikua ni noumaaa
Sometimes mtu unapita kuangalia bei za vitu mbali mbali na kuget angry ndo mana ya windows shopping" thn ukajipange au ujue utapata wapi pesa. Pia kuna offers mbali mbali zinatolewaga kwaio bila kupitia pitia huwez jua . I sapport thm