mzee wa funny
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 296
- 65
Wazungu wanaita window shopping, kuingia dukani sio lazima uwe na hela ya kununua kuna kitu kinaitwa customer behaviour unafanya research kabla hujafanya maamuzi sio kila mtu muuza sura wengine wanafanya tafiti zao
Inamaana wewe ni mdhungu maana umekoti sana.!