Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,197
- 4,558
Ni kweli manake ata kama iwe clean as new tunategemea ingeuzwa chini ya hapo kama laki sita au hata hio saba .sasa mzee hio bei si unachukua one plus 8 mpya unaongeza almost 40 shipping fee.Asante kwa walioufanya moyo wangu usiwe mgumu kuagiza online naagiza kila nachohis bongo ni expensive