Wauza smartphone tukutane hapa

Details

Iphone 6+

Storage: 64GB

Battery Health: 100%

Colour: Gold

Fingerprint Fail

Location: Dar free market mall oysterbay

Price: 350,000

Call 0744033555
IMG-20210122-WA0020.jpg
IMG-20210122-WA0024.jpg
 
Kuna mmoja alikuwa anauza spark 4 akaweka namba humu anapigiwa simu anasema imeuzwa ila zipo zinapatikana, anasema hapa nipo kwenye gari nikishuka nakujulisha, baada ya masaa kadhaa anapigiwa hapokei simu, baadaye anapigiwa anakata simu yn ni mpumbavu sn yule jamaa, jina nimemsahau ila avatar yake naijua nikiiona nitaimulika humu mpuuzi yule.
Ulikua unatafutaa simu ya Bei ndogoo??
 
Mie nahitaji smart phone nzuri hata kama ni used iwe angalau na GB 32 storage. Budget yangu 170k. Nipo city centre, Dsm
 
e nahitaji smart phone nzuri hata kama ni used iwe angalau na GB 32 storage. Budget yangu 170k. Nipo city centre, Dsm
Ungekuwa Sumbawanga ningekupa Samsung iliyotumika miez miwili, ila kwa shart la kunipatia simu tecno ya batani
 
From kiago_store

Available brand new

iPhone

7 (32GB ) Tsh 480,000/=
7 (128GB ) Tsh 550,000/=
7+ (32GB ) Tsh 690,000/=
7+ (128GB ) Tsh 770,000/=
8 (64GB ) 650,000/=
8+ (64GB ) 870,000/=
8+ (256GB ) Tsh 970,000/=
X (64GB ) 950,000/=
X (256GB ) Tsh 1,030,000/=
Xs (64GB ) Tsh 1,020,000/=
Xs Max (64GB ) Tsh 1,285,000/=
Xs Max (256GB ) Tsh 1,500,000/=

6 Months warranty
0714 981607
0758 294766
Relax; Free delivery within Dar es salaam

#0714981607 View attachment 1684163
IMG_20210123_130157_067.jpg
 
e nahitaji smart phone nzuri hata kama ni used iwe angalau na GB 32 storage. Budget yangu 170k. Nipo city centre, Dsm
Ungekuwa Sumbawanga ningekupa Samsung iliyotumika miez miwili, ila kwa shart la kunipatia simu tecno ya batani
Hyo Samsung ina shida gani mm nipo Tunduma?
 
Hyo Samsung ina shida gani mm nipo Tunduma?
Haina shida yoyote kiukweli mm mwenyewe naumia but no way out nmepigika balaaa, lbd imekosa chaja yake tu, but in all conditions ni nzur balaa. Ina miez miwil kwenye matumiz mkuu, chaja yake nilisahau kwenye gar ko ikapotea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom