Upo wapi,?Njoo nkupe s6 edge plus ni og kabisa bado mpyaa kwa 270k nmba 0688730349
OK boss welcomeTakucheki soon
Yes bossDuka lipo Kariakoo?
Ulikua unatafutaa simu ya Bei ndogoo??Kuna mmoja alikuwa anauza spark 4 akaweka namba humu anapigiwa simu anasema imeuzwa ila zipo zinapatikana, anasema hapa nipo kwenye gari nikishuka nakujulisha, baada ya masaa kadhaa anapigiwa hapokei simu, baadaye anapigiwa anakata simu yn ni mpumbavu sn yule jamaa, jina nimemsahau ila avatar yake naijua nikiiona nitaimulika humu mpuuzi yule.
ulipata?mwenyewe natafutamwenye machine ya LG V10 nahtaji
0714 981607 au 0758 294766Mie nahitaji smart phone nzuri hata kama ni used iwe angalau na GB 32 storage. Budget yangu 170k. Nipo city centre, Dsm
Hyo Samsung ina shida gani mm nipo Tunduma?e nahitaji smart phone nzuri hata kama ni used iwe angalau na GB 32 storage. Budget yangu 170k. Nipo city centre, Dsm
Ungekuwa Sumbawanga ningekupa Samsung iliyotumika miez miwili, ila kwa shart la kunipatia simu tecno ya batani
A11 bei gani mkuu0714 981607 au 0758 294766
Kuna Samsung j5 prime
Storage 32GB
Ram 4GB
Dual sim
Gold
Clean condition View attachment 1684160View attachment 1684161View attachment 1684162
Mpyaa zipo boss Tsh 275,000A11 bei gani mkuu
Speed ya internet ikoje?Mpyaa zipo boss Tsh 275,000
Ipo fresh bossSpeed ya internet ikoje?
Haina shida yoyote kiukweli mm mwenyewe naumia but no way out nmepigika balaaa, lbd imekosa chaja yake tu, but in all conditions ni nzur balaa. Ina miez miwil kwenye matumiz mkuu, chaja yake nilisahau kwenye gar ko ikapoteaHyo Samsung ina shida gani mm nipo Tunduma?
Kwa 200000 naiitajiSAMSUNG GALAXY A20 FOR SALE
PRICE 250,000/=TSH
IMETUMIKA MIEZI MIWILI TU.
HAINA TATIZO NA IPO KWENYE HALI NZURI.