Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Habari, naitwa dalali solo nipo Dar
Nahusika na kuuza simu used aina mbalimbali kwa bei rafiki.

Smart used hata ofa yako ikiwa laki 1 unapata simu kama tecno F1, F2 samsung grand prime n.k

Usiidharau pesa yako,
Nipigie 0744033555 tujadiliane namna ya kukusaidia upate simu nzuri kwa bei uliyonayo.

0744033555

Usisahau tuko na pikipiki used za kila aina kwa ofa nzuri

Tv used kwa ofa nzuris
 
Available brand new

iPhone 6s Plus
Storage 64GB
Brand new
Full box
Tsh 550,000/=
____________________

12 Months warranty
0714 981607
0758 294766
Relax; Free delivery within Dar es salaam

#0714981607
IMG_20210108_233353_098.jpg
 
Samsung galaxy core mini 4G.
Ram 1 gb
Rom 8 gb
Iko katika hali nzuri.
Dar es salaam, kiwalani
Piga simu 0744033555
 
Available brand new

Samsung S8
Storage 64GB
Ram 4GB
Brand new
Full box
Tsh 460,000/=
____________________
12 Months warranty
0714 981607
0758 294766
Relax; Free delivery within Dar es salaam

#0714981607
IMG_20210109_142217_927.jpg
 
Available brand new

Samsung Note 9
Storage 128GB
Ram 6GB
Full box
Brand new
Tsh 780,000/=
_______________________

12 Months warranty
0714 981607
0758 294766
Relax; Free delivery within Dar es salaam

#0714981607
IMG_20210102_125119.jpg
IMG_20210102_124846.jpg
 
Sumsung a10s, bado ipo kwenye guarantee. Ipo dar. Ina crakes kidogo lkn inafanya kazi vizuri tu. Bei lak 2, 0625618177
 
Tecno spark 2 GB 16 sh 160k imenyooka haina kipengele ipo mwenge-dar njoo ujionee
 
Mimi hata uniwekee bastola kwenye paji la uso sinunui simu ng'oo kutoka kwa mtu ambae ni rangi nyeusi!Utasikia "wauza smart phone tukutane hapa", kumbe simu zinazouzwa ni fake na refurbished ila kwa bei ileile ya simu original!
Na wengine unaweza kukubaliana naye bei hapa jf tena huko pm,ukachukua namba yake ili mkutane akupe simu nawe umpe hela.Ataanza kujizungusha na kukupa jibu kwa njia ya simu kuwa bei sio hiyo,ilihali mmekubaliana kwenye pm tena vizuri kabisa.Wengi wauzaji wa simu humu wababaishaji na utoto mwingi!!
 
Galaxy Note 10 plus (icasa Approved)

Condition Neat and clean as new
Memory 256 gb
Ram 12 gb
Warranty 12 Month

Price 1,550,000/- Tsh

Contacts 0652332255

Location Infinix Building Kariakoo
IMG-20200319-WA0016_Original.jpg

IMG-20200319-WA0017_Original.jpg

tritech_limited___B8jtS9Wnxut____Original.jpg
 
Na wengine unaweza kukubaliana naye bei hapa jf tena huko pm,ukachukua namba yake ili mkutane akupe simu nawe umpe hela.Ataanza kujizungusha na kukupa jibu kwa njia ya simu kuwa bei sio hiyo,ilihali mmekubaliana kwenye pm tena vizuri kabisa.Wengi wauzaji wa simu humu wababaishaji na utoto mwingi!!
Kuna mmoja alikuwa anauza spark 4 akaweka namba humu anapigiwa simu anasema imeuzwa ila zipo zinapatikana, anasema hapa nipo kwenye gari nikishuka nakujulisha, baada ya masaa kadhaa anapigiwa hapokei simu, baadaye anapigiwa anakata simu yn ni mpumbavu sn yule jamaa, jina nimemsahau ila avatar yake naijua nikiiona nitaimulika humu mpuuzi yule.
 
Back
Top Bottom