Alvin A.
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 2,868
- 3,624
ndio ila imepasuka kioo
ndio ila imepasuka kioo
Nilijua nzima bossndio ila imepasuka kioo
Sawa boss
umemaaanisha J5 au note 5 nyooosha maelezo mzeeemkuu vp samsung 5 sh ngp
MWENYE SMART ILIYOTULIA RAM GB 3 AU 4
STORAGE 32GB AU 64
anicheki kwa namba hii 0718063361
N:B ISIWE TECNO NJOO NA BEI NZURI
Sent using Jamii Forums mobile app
S5 boss wangu unamanisha??mkuu vp samsung 5 sh ngp
S5 boss wangu unamanisha??
Ipo boss.note 5 I mean
Ipo boss.
600,000 bosssh ngp
600,000 boss
Boss usimfanyie hivi huyu ndugu yetu asee...600,000 boss
Boss it's free world, muuzie yako.Boss usimfanyie hivi huyu ndugu yetu asee...
Note 5 simu ya mwaka 2015(miaka mitano nyuma) unataka umuuzie kwa 600k?
Kwanza najua piga ua HAIWEZI kua brand new sealed..
Ni either refub, used/carrier unlocked.
M najua wewe ni mfanyabiasha na unajua kbsa kwa nusu ya hio hela anapata hio simu,
ngoja niamini ya kua ulitaka kumpima km biashara za kibongo zilivyoo...
ila umeanzia mbali sanaa kaka...
600k ni bei ya S8+ town...
Nayo brand new sealed HUPATI.
Unielewe...
Sina nia ya kukuharibia biashara..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kariakoo na Sinza madukani 0714 036595.poa duka lako lipo wap
Sifanyi ushindani wa bei hapa boss, na sina lengo la kufanya biashara naye..Boss it's free world, muuzie yako.