Wauza smartphone tukutane hapa

600,000 boss
Boss usimfanyie hivi huyu ndugu yetu asee...

Note 5 simu ya mwaka 2015(miaka mitano nyuma) unataka umuuzie kwa 600k?

Kwanza najua piga ua HAIWEZI kua brand new sealed..
Ni either refub, used/carrier unlocked.

M najua wewe ni mfanyabiasha na unajua kbsa kwa nusu ya hio hela anapata hio simu,

ngoja niamini ya kua ulitaka kumpima km biashara za kibongo zilivyoo...
ila umeanzia mbali sanaa kaka...

600k ni bei ya S8+ town...
Nayo brand new sealed HUPATI.

Unielewe...
Sina nia ya kukuharibia biashara ni katika nia ya kusaidiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss usimfanyie hivi huyu ndugu yetu asee...

Note 5 simu ya mwaka 2015(miaka mitano nyuma) unataka umuuzie kwa 600k?

Kwanza najua piga ua HAIWEZI kua brand new sealed..
Ni either refub, used/carrier unlocked.

M najua wewe ni mfanyabiasha na unajua kbsa kwa nusu ya hio hela anapata hio simu,

ngoja niamini ya kua ulitaka kumpima km biashara za kibongo zilivyoo...
ila umeanzia mbali sanaa kaka...

600k ni bei ya S8+ town...
Nayo brand new sealed HUPATI.

Unielewe...
Sina nia ya kukuharibia biashara..

Sent using Jamii Forums mobile app
Boss it's free world, muuzie yako.
 
Boss it's free world, muuzie yako.
Sifanyi ushindani wa bei hapa boss, na sina lengo la kufanya biashara naye..

Nilochoandika ni uhalisia...
Samsung Note 5 thamani yake halali kwa sasa sio hio....

Hio simu imeshatumika na imesha expire hata kwenye warrant za samsung..

Hio bei ni ya angalau Flagship ya 2017...
Kwa maana hio hata s7 edge leo hii ukiuziwa 600k umeliwa kichwa...

1: sioni kama kulikuwa na umuhimu wa wewe kuja kupinga bei yangu na hujui simu nauza used refurbished au flagship.

2: watu wa JF kila mtu anajua sana. Binafsi wateja vichefu chefu toka humu nishakutana nao wengi kuna mmoja kama wewe kaja shop anataka s7 kaletewa boxed simu mbili kafungua zote afu guess what alinunua?? Anadai namba za TCRA hazi match na imei number what a whack excuse...

3: kama unayo simu kweli jamaa huyo hapo mcheki PM ufanye nae biashara easy man.

4: Android siuzi used boss used phones nauza iPhone tu.
 
Relax boss wala usipanik....
Note 5 huwezi pata mpya sealed leo hii....
NARUDIA TENA HUPATI...
UKIWA NAYO NIKATHIBITISHA MM NANUNUA KWA BEI HIO...

sio ujuaji Ni uhalisia tu...

Huyo wa kufungua box halaf anakimbia ni makosa yako...
Mteja akifungua box km ni sealed hio simu lazima achukue...
hata kisheria unambana...

Kuna watu tumeumbwa kutominyana na wapuuzi nilishamwona pesa hana, nilimwacha aende.
Na kwa case yako wewe ni mjuaji boss wangu, nimeuza simu toka na 15 hadi leo, nimekutana na changamoto nyingi sio kama hii yako ya kutaka kuwa super hero.
 
Hio ya ujuaji umenibatiza wewe boss...

Haya Tuachane na hayo masula ya mpya au used maana ukweli unajulikana.....

Nilisema tangu mwanzo ya kua najua wewe ni mfanyabiashara mzoefu....
Na bahati nzuri umekiri mwenyewe.....

Kwa ukweli wako toka ndani......
Samsung Note 5 ya 2015 ina bei ya 600,000/= leo hii?...

Halaf relax kaka.....
Hizi mambo Atack hoja sio ID hapo tutakua tumeenda kiume...

Boss mimi nauza 600,000, kuna Used 250,000 mteja akitaka nimuunganishe na muuzaji ila akija lalamika humu lawama ziwe kwako boss kubwa.
 
Samsung J7 pro, imepasuka kioo kabisa cha mbele ila iko fresh, mtu aje na offer yake, npo Dar.
 
pia nnayo S7 edge nataka exchange only kwa samsung ya line 2 maana napata shida sana nimeshazoea simu za line mbili, kumiliki simu mbili au tatu kwa pamoja siwezi. thamani za simu ziendane.
 
PHONE :iPHONE 7 PLUS
CAPACITY: 32GB
BATTERY:100%
COLOUR: MATE BLACK
CONDITION: CLEAN
PRICE: 750,000
LOCATION: SINZA MADUKANI & KARIAKOO @itechnology
Inquiries: 0714 036595
 
Attachments

  • IMG-20200226-WA0012.jpg
    IMG-20200226-WA0012.jpg
    46.9 KB · Views: 1
  • IMG-20200226-WA0011.jpg
    IMG-20200226-WA0011.jpg
    40.5 KB · Views: 1
  • IMG-20200226-WA0009.jpg
    IMG-20200226-WA0009.jpg
    45.8 KB · Views: 1

Similar Discussions

63 Reactions
Reply
Back
Top Bottom