Wauza smartphone tukutane hapa

PHONE: TECNO SPARK 2
DISPLAY:6HD+
CAMERA:8MP + 13MP
PHONE SECURITY: FACE ID UNLOCK
*It has portrait mode*
CONDITION: NEW (BOXED)
PRICE:280,000 Tsh
LOCATION: KARIAKOO & SINZA MADUKANI
Inquiries: 0714 036595 Whatsapp& Call.
 

Attachments

  • IMG-20200224-WA0008.jpg
    IMG-20200224-WA0008.jpg
    61.6 KB · Views: 2
  • IMG-20200224-WA0009.jpg
    IMG-20200224-WA0009.jpg
    58.9 KB · Views: 1
  • IMG-20200224-WA0010.jpg
    IMG-20200224-WA0010.jpg
    72.5 KB · Views: 1
  • IMG-20200224-WA0011.jpg
    IMG-20200224-WA0011.jpg
    73.9 KB · Views: 2
600,000 boss
Boss usimfanyie hivi huyu ndugu yetu asee...

Note 5 simu ya mwaka 2015(miaka mitano nyuma) unataka umuuzie kwa 600k?

Kwanza najua piga ua HAIWEZI kua brand new sealed..
Ni either refub, used/carrier unlocked.

M najua wewe ni mfanyabiasha na unajua kbsa kwa nusu ya hio hela anapata hio simu,

ngoja niamini ya kua ulitaka kumpima km biashara za kibongo zilivyoo...
ila umeanzia mbali sanaa kaka...

600k ni bei ya S8+ town...
Nayo brand new sealed HUPATI.

Unielewe...
Sina nia ya kukuharibia biashara ni katika nia ya kusaidiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss usimfanyie hivi huyu ndugu yetu asee...

Note 5 simu ya mwaka 2015(miaka mitano nyuma) unataka umuuzie kwa 600k?

Kwanza najua piga ua HAIWEZI kua brand new sealed..
Ni either refub, used/carrier unlocked.

M najua wewe ni mfanyabiasha na unajua kbsa kwa nusu ya hio hela anapata hio simu,

ngoja niamini ya kua ulitaka kumpima km biashara za kibongo zilivyoo...
ila umeanzia mbali sanaa kaka...

600k ni bei ya S8+ town...
Nayo brand new sealed HUPATI.

Unielewe...
Sina nia ya kukuharibia biashara..

Sent using Jamii Forums mobile app
Boss it's free world, muuzie yako.
 
Boss it's free world, muuzie yako.
Sifanyi ushindani wa bei hapa boss, na sina lengo la kufanya biashara naye..

Nilochoandika ni uhalisia...
Samsung Note 5 thamani yake halali kwa sasa sio hio....

Hio simu imeshatumika na imesha expire hata kwenye warrant za samsung..

Hio bei ni ya angalau Flagship ya 2017...
Kwa maana hio hata s7 edge leo hii ukiuziwa 600k umeliwa kichwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom