Fredrick asajile
Member
- Jan 21, 2015
- 42
- 9
Jaman mwenye mashine ya Tecno C9 na infinix note 3 anicheki tufanye biashara no 0714018677
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
INAUZWA
SAMSUNG NOTE 4 DOUBLE LINE
Storage 16gb | Ram 3gb
Display 5'7 | Network 4g
Condition used like new
Fingerprint Scanner
Original version sio copy
Model SM-N9100
Bei 280000/-View attachment 1011606View attachment 1011607View attachment 1011608
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran sana mkuu kwa angalizo.Ukiona mtu anakuuzia simu halaf picha inaonesha No sim card, Offline mode, emergency call, no service, display ipo off au mazingira yyt ambayo huoni pale juu kwenye laini ikisoma anza kutumia akili yako vzr.
Au kwa ufupi usikubali kununua simu ambayo muuzaji haitumii ktk mawasiliano, kabla ya kununua hakikisha anaweka laini yake na anawasiliana,
Akili kumchwako, za kuambiwa changanya na zako.
Kwa wale wanaonunua simu mikononi/mtumba au refublished/jailbroken ukiuchukulia au Ukiona huu ushauri ni wa kizwazwa sawa tuu maana maisha ni kuchagua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mzigo bado upo,??Samsung Galaxy S6 BEI chee
300k tu
Ram GB 3
Storage GB 32
Simu kali kaliii imenyooka
Ukiitaji nichek PM kwa Mawasiliano
Galaxy S7 njoo na 500K tufunge mahesabu!
Kama inavoonekana!View attachment 1011518View attachment 1011519View attachment 1011522
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo 120k haishuki.
J4 plus 2018 inauzwa hiyo iko mpya imetumika 1week
Android version 8.0.1
Ram 3gb
Storage 32gb
Duos
Bei 320000
0682487544
Dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu.Exchange na IPhone 6 inawezekana
Sent from my iPhone using JamiiForums
HIYO G6 ni brand new au used?Kuna LG G6 500K Mpya kabisa.
Ukifika 250000 nicheki PM please
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ya mwaka ganiSamsung Galaxy J5 Prime
2GB ram
16GB rom
4g net speed
Location ni Tabata segerea
Bei ni 260k
Nicheck pia 0763976109View attachment 1013428View attachment 1013429View attachment 1013430View attachment 1013431
Sent using Jamii Forums mobile app