Wauza smartphone tukutane hapa

Wengine washamba jamani,maana natumia tecno mchina line mbili,hata nikiibiwa silii.
Hembu tuambieni simu gani hasa zinauwezo wa kufanya navigation kama hii hapa chini.
Na bei zake kwa iliyo bora zaidi ni kiasi gani
attachment.php
 
Attachments

  • 1.JPG
    1.JPG
    226.1 KB · Views: 692
Wengine washamba jamani,maana natumia tecno mchina line mbili,hata nikiibiwa silii.
Hembu tuambieni simu gani hasa zinauwezo wa kufanya navigation kama hii hapa chini.
Na bei zake kwa iliyo bora zaidi ni kiasi gani
attachment.php

Kama sio google map kwenye computer hiyo simu itakuwa kiboko
 
Mwenye simu aina ya HTC GLACIER(my touch) isiwe slid, hata kama ni mbovu, ila bodi lake liwe katika hali nzuri. Mwenye nayo aje Pm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom