MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,495
- 20,509
Huawei Y530 iko poa kabisa bei 140,000
mkuu hauhitaji 530?weka namba ya simu
Nahitaji LCD ya samsung galaxy s 4.
Hata km simu imekufa LCD ikiwa nzima nichek 0717169024
Lg g2 350k
Wengine washamba jamani,maana natumia tecno mchina line mbili,hata nikiibiwa silii.
Hembu tuambieni simu gani hasa zinauwezo wa kufanya navigation kama hii hapa chini.
Na bei zake kwa iliyo bora zaidi ni kiasi gani
Kama sio google map kwenye computer hiyo simu itakuwa kiboko
:sly::thumbup:nataka tecno h6 ntaipataje jamn
Nipe # yako nkutumie htc yangu nnayo iuza 260,000/ kwa whatsap, ni used toka denmark iko na hali nzuri sana na sijatuma kabisa hapa tz
S3 mpya original...nina na risti yake..ina protector ya glass charger na earphone
Bei 250000 haipungui niko mwanza
0719397568