Kundi la wafanyabiashara hii kongwe zaidi nchini na duniani ni kubwa mno. Watu hawa wako kila Kijiji/mtaa, kata , wilaya na mkoa. Kama tukiwasajili na wakalipa kodi, kitakuwa chanzo kikubwa sana cha mapato.
Utafiti uliofanywa na taasisi isiyo ya Mahusiano na Unyumba, imebaini kuwa pesa zinazokusanywa na watu hawa kwa mwaka ni nyingi sana zaidi ya zile zinazokusanywa na sekta y utalii.