Wauza nguo za kike na urembo wanavyokula wake zetu

Kwa style hiyo mkuu wataliwa wengi sie masingle girls hawatuwezi ngoja waendelee kula cheap product/wake za wa tu mana sikuhizi wamekuwa vitonga vya wadogo zetu mxieeeeew !
Ningelikuwa dume hata mimi nisingewaacha mana sio kwa kujirahisha huko
Umeona eeee hata wewe ukiolewa mbona watakunyemelea kwasasa hawakuwezi wanajua hutatoa kirahisi na pesa hutoi but hawa wake za watu wa sasa wanaliwa sana aisee yani mpaka kinyaa
 
Back
Top Bottom