Wauza nguo za kike na urembo wanavyokula wake zetu

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
3,134
3,568
Kwanza kabla ya yote wana MMU tusikitike kidogo jamani!!

Kumekuwa na katabia hapa jijini kwa Makonda japo sio kapya ili kwa sasa kameshamiri kwelikweli yani wauza nguo za kike kuanzia za juu, chini mpaka ndani especialy wale wanaotembeza majumbani kwetu mbaya zaidi tukiwa hatupo kabisa na kwa wale wanawake wafanyakazi huwaletea jioni na siku za week bila kusahau yakuwa wanapenda sana kuchukua numbe za simu ili "nikipata nikustue" .

Mbinu wazitumiazo;
1, Kuwapa wajaribishe nguo alafu wakishajaribu wanaanza kuwasifia na kuwaweka nguo vizuri mara kamshuka huku mara kule na siunajua wazee tulivyo bussy moja chali na wanawake wa sasa wasivyoridhika na walivyodhaifu mara washalegea .

2, Mbinu nyingine ni pale wanapowapa wanawake nguo wajaribu alafu wakishavaa huanza kulalamika yakuwa "ujue umependeza mpaka mwenzako mimi hooi naumia naomba nionee huruma" na hawa viumbe wenzetu walivyo na huruma hujikuta wanavunja ile amri ya 6.

3, Zawadi za nguo
Utashangaa mara kamletea mke wa mtu zawadi tena mbaya zaidi nguo za ndani kama chupi, bikini, skin tight na hata night dress ambavyo ni very romantic kila waivaapo lazima wakumbuke the giver na hutumia advantage hiyo kutogongea yani hawa majunk wanapenda sana wake za watu kwa kuwa wanapenda mteremko no vizinga nk.

4, Kujifanya wanyonge na maskini sana yani hawaishi kuwaambia wake zetu kuwa " Swaiba ulivyopendeza Mungu tu ndio anajua yaaani wakubwa wanafaidi wea acha tu mimi maskini nimpate wapi mwanamke mzuri kama wewe" wanawake wanapenda sana kusifiwa, kuliliwa na kunyenyekewa mwisho wa siku wanaliwa leo nimeonyeshwa dogo mmoja anayemla mke wa mheshimiwa fulani wallah sikuamini sijui wake zetu wamekumbwa na jini gani jamani?

My take;
Tuwe na tahadhari sana na hawa watu na pia tusiwaruhusu hawa vijana wawazoee wake zenu kwani wamekuwa hatari sana juzi tu kuna jamaa kamwacha mkewe kisa muuza nguo za kike.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaoliwa ni wale wasio na hela za kununua nguo...sisi wenye zetu walaaa hatuliwi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena nyie ndio mnaliwa papuchi na hela kwa pa1 ogopa dogo anakulia machozi kavaa singlendi six pack njenje kifua mbavu nane alafu ashadinda anakuonyesha hogo la mwendokasi utaishia kuliwa tena naskia type yenu wanas3maga uwe unakujakuja kunipa raha ila siri yako usimwambie mtu.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom