Wauza Mbao kutoka Msumbiji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wauza Mbao kutoka Msumbiji

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Edylux, Mar 3, 2011.

 1. E

  Edylux Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Salaams wana JF,

  Tafadhalini sana, naomba ambaye ana contact za wauza mbao wa Msumbiji,
  au wa TZ wanao import mbao kutoka Msumbiji, anipatie.

  Nahitaji Mahogany, Afrormosia, Mninga, Panga panga na Teak (mtiki) :

  Size; (1" - 4") x (10" - 12") x (8' - 10').
  unene; upana; urefu.

  Kwa kuanzia nahitaji cubic meter 20 za kila aina.

  Naomba bei hadi kiwandani/bandarini Dar kwa cubic meter au kwa ubao, na utaratibu wa malipo.

  Ahsanteni,
  Edylux
   
 2. b

  bwanaharusi Member

  #2
  Sep 8, 2011
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ninazo mbao za msumbiji

  na Tanzania sema hujibu private msgs zako
   
Loading...