Wauumini wa kanisa la Efata kwa Mwingira hawavai barakoa

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,867
8,271
Jioni ya leo nimeshuhudia maelfu ya waumini wa kanisa la Mwingira hapa Mwenge wakitoka kwenye misa bila ya hata mmoja kuvaa barakoa, yaani ni kama hawajui kama kuna UVIKO 19 , pia hata kwenye vyombo vya usafiri bado msongamno ni kama zamani kabla ya kutolwa amri na abiria sehemu kubwa hawavai barakoa, hali ni hiyo hiyo hata kwenye maeneo ya biashara kama kwenye migahawa, mahoteli sokoni,madukani. Chonde chonde mkuu wa mkoa Mhsimiwa sana Amos Makalla hakuna anayezingatia maagizo yako,watu wamekuwa wagumu kubadilika, inabidi nguvu za ziada zitumike na mamlaka zisimamie uwajibikaji kwa tatizo hili ,isishie tu kuonyeshwa kuwa mnachanjwa.
 
Aisee watuache tu, life la kipindi kile cha lockdown sio kabisa. Ishu za level seat ndgu yangu mnaziweza nyie wa orsterbay.
Kosa ni la seriakli yako kila kitu kuendesha kisiasa siasa tu, tushaacha kuwaamini na matamko yao sasa.
Wacha tuishi tu ivo ivo
 
Aiseee
JamiiForums1936344402.jpg
 
Acha wivu wewe zuzu, wewe vaa barakoa usiwaonee wivu ambao wanatembea peku peku, nawewe vua basi...
 
Aisee watuache tu, life la kipindi kile cha lockdown sio kabisa. Ishu za level seat ndgu yangu mnaziweza nyie wa orsterbay.
Kosa ni la seriakli yako kila kitu kuendesha kisiasa siasa tu, tushaacha kuwaamini na matamko yao sasa.
Wacha tuishi tu ivo ivo
Sisi tuendelee na maisha yetu kama hatujui chochote, corona na covid yao ibakie huko huko kwenye TV...
Ukiniwekea gate pass na barakoa, nakuvalia nikikuvuka tu naiweka shingoni!!
Ebo tusisumbuane...
 
Acha wivu wewe zuzu, wewe vaa barakoa usiwaonee wivu ambao wanatembea peku peku, nawewe vua basi...
Mkuu korona sio ukimwi ,korona ni ugonjwa unaoambukizwa kwa hewa sasa mkiacha midomo wazi kama viboko wa mto Ruaha si mtawaambukiza na hao wengine, basi lingekuwa jambo jema mumwambie huyu mtume wenu awe anawabeba kwenye magari yake badala ya kuwa chawa kwenye usafiri wa umma.
 
Mkiwa na vimilion benk mnakua na hofu ya kifo sana
 
Mkuu korona sio ukimwi ,korona ni ugonjwa unaoambukizwa kwa hewa sasa mkiacha midomo wazi kama viboko wa mto Ruaha si mtawaambukiza na hao wengine, basi lingekuwa jambo jema mumwambie huyu mtume wenu awe anawabeba kwenye magari yake badala ya kuwa chawa kwenye usafiri wa umma.
Wenzako sisi hatujui kama kuna corona, kama unaona sisi tumebeba wadudu midomoni pole yako...
 
Back
Top Bottom