Habari za muda huu
Naomba kujuzwa, hivi kampuni inaposema tunatoa mshahara mnono kwa nafasi ya ulinzi inaweza ikawa kama Tshs ngapi ?
Mana nimeona tangazo la kazi ya ulinzi katika mradi wa bomba la mafuta na wameandika tunatoa mshahara mnono
Naomba kwa wenye uzoefu wanisaidisme kunijuza
Ahsante