kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 119
- 226
Waumini maelfu wakichota udongo uliokombolewa na Mtume Boniphace Mwamposa hapo jana Kawe kwenye Mkesha wa kumaliza mwaka.
Majitu mengi ya kwa Mwamposa ni magonjwa yenye ukimwi, ugumba na magonjwa mengine sugu. Yanategemea miujiza kuponaWaumini maelf wakichota udongo uliokombolewa na Mtume Boniphace Mwamposa hapo jana Kawe kwenye Mkesha wa kumaliza mwaka.
Kijiko bukuWaumini maelf wakichota udongo uliokombolewa na Mtume Boniphace Mwamposa hapo jana Kawe kwenye Mkesha wa kumaliza mwaka.
Mkuu@ELI COHEN anakuita kuleWasi wasi wangu akifa huyu wanaweza kumuabudu
Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
epuka maandamano Linda uhai wako
Matatizo ya akili ni makubwa sana nchini.Waumini maelf wakichota udongo uliokombolewa na Mtume Boniphace Mwamposa hapo jana Kawe kwenye Mkesha wa kumaliza mwaka.View attachment 3518172
Acha kukariri. Amani hailindwi ''kwa wivu''. Kimsingi hili jambo la kusema ''nitalinda..... ''kwa wivu mkubwa'' ni kukariri kama nyumbu. Jambo au kitu chochote kinalindwa kwa ustadi, ujasiri na maarifa na siyo kwa wivu.Wasi wasi wangu akifa huyu wanaweza kumuabudu
Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
epuka maandamano Linda uhai wako
Ndiyo maana mabeberu wanatuonea wivu. Wanatugombanisha ili waje watuibie udongo wetu uliokombolewa.Waumini maelf wakichota udongo uliokombolewa na Mtume Boniphace Mwamposa hapo jana Kawe kwenye Mkesha wa kumaliza mwaka.View attachment 3518172
MUHUNI MWAMPOSA NI PROJECT YA RAIA FEKI ...WANATUMIA UISLAMU NA UKRISTO KULIPUMBAZA NA KULIHALIBU TAIFA.Waumini maelfu wakichota udongo uliokombolewa na Mtume Boniphace Mwamposa hapo jana Kawe kwenye Mkesha wa kumaliza mwaka.
View attachment 3518172