Hata dini ambayo si ya Kikristo Kiislamu, ambayo ni ya Jadi ina kawaida ya kutoaMnajisikiaje pale mnapotoka kanisani na kurudi nyumban na baraka za kufikirika
Huku wachungaji wakirudi na utajiri wa kweli toeni ya moyoni
povu ruksa
Kama hufanyi haya uko sahihiWaumini wa dini ni kati ya jamii ya wapumbavu haswaa wanaoitwa walokole
Mipole mimi au wewePole....
ndugu katika Bwana,utatupwa kwenye moto wa milele kama huendi kanisaniNa miaka mingi zaidi ya 20 sijui ibada, na maisha yanasonga
We umejuaje?ndugu katika Bwana,utatupwa kwenye moto wa milele kama huendi kanisani
Ni upumbavu wa kiwango cha juu kabisa! Eti ulazimishe watu wasitoe sadaka kwa vile wewe uliasi Kanisa lakoHii dunia ngumu sana kuielewa,
Kila mtu anatafuta pesa kivyake, na kila mtu anatumia vile anaona sahihi kwake, mwingine anapeleka kanisani, mwingine anapeleka bar, mwingine anapeleka kwa mganga, mwingine kwa malaya mwingine anabet, mwingine anasaidia masikini. Ni vile mtu anajisikia kutumia.
Shida inakuja pale unapodhani wewe unaformula ya maisha kwamba kila mtu aishi na kuamini vile unataka.