habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
Heshima kwenu mabibi na mabwana,
Kwanza kabisa amani iwe nanyi popote mlipo,
Siku ya J5 nalikuwa Chamwino, ktk pilika pilika zangu za hapa na pale nikakutana na Mwana mama mmoja hivi mpole kwa kumtizama lkn mambo yake mchina atasubiri
Alikaribisha vyema kweli kwa nyama ya mbuzi na kileo kidogo, basi ilikuwa shangwe tu, ktk story zote alinistajaabisha kunambia "Mwanangu wanaume ni wadudu, si wa kuwaonea huruma hata kidogo, hawafai kuwa makini na wadudu hawa"
Akaendelea, "Ukimpata mume wa MTU usimwache ni bidhaa adimu, achana na ambao hawajaoa ni Padua kichwa, mpango mzima ni waume za watu, kumbuka hili na uweke akilini" mwisho wa nukuu:
Aiseee wenye uzoefu na waume za watu hebu waje wathibitishe kauli ya mwana mama huyu mwenye umri 55 na zaidi,