Waume za watu bidhaa adimu

Waume za watu bidhaa adimu

Sijawai kua na mume wa mtu! Hua namuonea huruma mkewe... Alitokega mbaba fulani akanionea huruma mimi akaishia kua ananihudimia tu bila sex...
Ila kiukweli mke wa mtu ni mtamu sana kwa mume wa mtu kwani mkiachana jioni kila mtu na hamsini zake kila mmoja anakuwa analinda ndoa hampigiani sim bila utaratibu au usumbufu kulinda mahusiano ya mchepuko wake na ndoa at the same time
 
Sijawai kua na mume wa mtu! Hua namuonea huruma mkewe... Alitokega mbaba fulani akanionea huruma mimi akaishia kua ananihudimia tu bila sex...
Nawewe hukumuonea huruma asee! Dhambi hiyo.
 
Ila kiukweli mke wa mtu ni mtamu sana kwa mume wa mtu kwani mkiachana jioni kila mtu na hamsini zake kila mmoja anakuwa analinda ndoa hampigiani sim bila utaratibu au usumbufu kulinda mahusiano ya mchepuko wake na ndoa at the same time
Tina; wewe ni Mke wa Mtu?
 
Heshima kwenu mabibi na mabwana,

Kwanza kabisa amani iwe nanyi popote mlipo,

Siku ya J5 nalikuwa Chamwino, ktk pilika pilika zangu za hapa na pale nikakutana na Mwana mama mmoja hivi mpole kwa kumtizama lkn mambo yake mchina atasubiri

Alikaribisha vyema kweli kwa nyama ya mbuzi na kileo kidogo, basi ilikuwa shangwe tu, ktk story zote alinistajaabisha kunambia "Mwanangu wanaume ni wadudu, si wa kuwaonea huruma hata kidogo, hawafai kuwa makini na wadudu hawa"

Akaendelea, "Ukimpata mume wa MTU usimwache ni bidhaa adimu, achana na ambao hawajaoa ni Padua kichwa, mpango mzima ni waume za watu, kumbuka hili na uweke akilini" mwisho wa nukuu:

Aiseee wenye uzoefu na waume za watu hebu waje wathibitishe kauli ya mwana mama huyu mwenye umri 55 na zaidi,
Bahati mbaya wanaosema waume za watu ni dili wao bado hawajaolewa na wanashinda kwa waganga kuomba waolewe.
 
Njooni kwetu mabinti mlojaaliwa maana ufalme wa madudu yetu ni wa kwenu
 
Sijawai kua na mume wa mtu! Hua namuonea huruma mkewe... Alitokega mbaba fulani akanionea huruma mimi akaishia kua ananihudimia tu bila sex...
kwani wewe hupendi sex?
 
Wanaume wengi wanaotoka nje ya ndoa wanakuwa wamechoshwa na maudhi ya wake zao so lazima akucare ili kujisahaulisha maudhi
 
Back
Top Bottom