Waume za watu bidhaa adimu

Waume za watu bidhaa adimu

Yupo sahihi kabisa. Sisi ni bidhaa adimu, anayetaka kuprove ajaribu kwangu
 
Sidhani kama bidhaa adimu maana wanapatikana kirahisi sana kuliko ambao wapo single, tafuta neno lingine mbadala na "adimu"
Mbadala wa adimu ni bwerere.

Mambo ya onisigala hayo.
 
Heshima kwenu mabibi na mabwana,

Kwanza kabisa amani iwe nanyi popote mlipo,

Siku ya J5 nalikuwa Chamwino, ktk pilika pilika zangu za hapa na pale nikakutana na Mwana mama mmoja hivi mpole kwa kumtizama lkn mambo yake mchina atasubiri

Alikaribisha vyema kweli kwa nyama ya mbuzi na kileo kidogo, basi ilikuwa shangwe tu, ktk story zote alinistajaabisha kunambia "Mwanangu wanaume ni wadudu, si wa kuwaonea huruma hata kidogo, hawafai kuwa makini na wadudu hawa"

Akaendelea, "Ukimpata mume wa MTU usimwache ni bidhaa adimu, achana na ambao hawajaoa ni Padua kichwa, mpango mzima ni waume za watu, kumbuka hili na uweke akilini" mwisho wa nukuu:

Aiseee wenye uzoefu na waume za watu hebu waje wathibitishe kauli ya mwana mama huyu mwenye umri 55 na zaidi,
Jinsia yako inaonekana kuwa na utata
 
Heshima kwenu mabibi na mabwana,



Akaendelea, "Ukimpata mume wa MTU usimwache ni bidhaa adimu, achana na ambao hawajaoa ni Padua kichwa, mpango mzima ni waume za watu, kumbuka hili na uweke akilini" mwisho wa nukuu:



Mume wa mtu au mume wa mtu aliye na pesa?
 
Waume za watu hawasumbui! Yaani unaenjoy experience ya kua single na kua kwenye relationship pamoja
 
Kumbe waijua ladha yao

Basi wacha ntafute mwingine
Sijawai kua na mume wa mtu! Hua namuonea huruma mkewe... Alitokega mbaba fulani akanionea huruma mimi akaishia kua ananihudimia tu bila sex...
 
Back
Top Bottom