WaTZ Mbona hampendi wakenya?

Status
Not open for further replies.
mkenya anaamini anything foreign is superior!!!kazi yenu kocopy tu hamna ubunifu.
hatuwapendi vipi wakati JK alikuja kuwasuluhisha bila yeye mngekua mshamalizana.
 
hovyoooo.hapo kwenye red ndo pameniudhi sana...hata TZ tuna elimu bora na wasomi km nyie kwa mwai.....Punguzeni dharau..
 
sasa nyie kama mnaona sisi twafanya kazi bila permit mbona hamtufukuzi?mnazidi kutaka sisi tulete ndugu zetu hapa kwa kuwa nyie hamtaki kazi,nyie mwapenda kukaa vibarazani na kucheza bao kila siku,kazi zinawashinda,sasa mimi nimeitwa kuja kufanya kazi tz na mshahara wangu utakuwa mkubwa sana,ninarudi early january
 
Karibu tukupakate vizuri, hadi kilinyelinye chako kiishe!
 
Yeye mwenyewe huyo kenyata inaoneka kiwango chake cha elimu ni cha chini sana!

nyie ndugu watz mimi nashindwa kuwajua,kama elimu yangu ndogo mbona tumeingia interview na watz wenye degree lakini kazi wakanipa mimi?kama elimu yangu ndogo confidence yangu ni kubwa
 
halafu ni kimbelembele ho kila mahali....wanajifanya wanataka kutawala africa nzima ..kisa..kiingreza
 
Karibu; ngoja niongee na Preta ahakikishe 90% ya mshahara unabaki Tz!
 
nyie ndugu watz mimi nashindwa kuwajua,kama elimu yangu ndogo mbona tumeingia interview na watz wenye degree lakini kazi wakanipa mimi?kama elimu yangu ndogo confidence yangu ni kubwa
kenyata una tatizo la akili. Ninakusihi tafuta daktari wa magonjwa ya akili haraka iwezekanavyo:juggle:
 
halafu ni kimbelembele ho kila mahali....wanajifanya wanataka kutawala africa nzima ..kisa..kiingreza

wewe ndugu ngoja niseme,Zimbabwean na Kenyan ndio watu pekee wenye best skill sub saharan,hiyo ujue ndio maana mnalalamika lakini hiyo ndiyo kweli
 
hacha kuchafua hali ya hewa we mkenya,mimi kila nikimuona mkenye kaandika hapa lazima aandike matusi,hiyo ndio technology mnayolingia nini?
 
hacha kuchafua hali ya hewa we mkenya,mimi kila nikimuona mkenye kaandika hapa lazima aandike matusi,hiyo ndio technology mnayolingia nini?

najua hamtupendi but we are here to stay,mbona serikali yenu inatupenda,twafanya kazi twalipa tax,serikali yenu yawajua nyie wavivu sana
 
unarudi kuja kufanya kazi gani wewe? mbona dada zako wamejaa kwenye mabaa yetu! au ndokazi uliyopata nawewe? watu mlikuwa na njaa! afu unasema nini wewe! jibu kwanza hoja hapo umeambiwa hamtahiri! ndomana dada yetu alikutema usije ukampa kirusi!
 
wewe ndugu ngoja niseme,Zimbabwean na Kenyan ndio watu pekee wenye best skill sub saharan,hiyo ujue ndio maana mnalalamika lakini hiyo ndiyo kweli
best skill katika nini?best skill wakati mnakufa na njaa?hopeless kabisa,nenda kawasaidie walalahoi wa KIBERA na hizo best skills na sio kujisifu kwenye monitor.
 
wewe ndugu ngoja niseme,Zimbabwean na Kenyan ndio watu pekee wenye best skill sub saharan,hiyo ujue ndio maana mnalalamika lakini hiyo ndiyo kweli
nenda katafute sabuni ujichue kwa kutumia kiganja chako labda akili yako itatulia!
 
Duuhhh..!!!!:A S 13::A S 13::A S 13:.. Kama si chizi, basi Utakuwa na matatizo fulani. Huyo aliyekwambia kwamba wanawake wote wa ki-TZ ni makahaba atakuwa amekudanganya. Ni mwanamke gani na heshima zake ambaye hata hakufahamu utamu-approach kwa gia kubwa kisha utegemee kumpata kwa siku hiyo hiyo? Tena hata kusubiri mpaka kujua kwamba wewe ni mkenya atakuwa amekustahi sana.:A S-coffee:
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…