Kwani mimi.sina zangu? Aisee sijawhi muomba mwanaume pesa, na sijawahi chukua pesa ya mwanaume kama siko. kwenye serious relationship nae. Haijawahi tokea
Tangu niachane na bf wangu 2018, sijawahi ingia mahusiano ambayo nayakumbuka.na kama.niliingia ni ni mahusiano na mtu mmoja tu na hatukufika mbali. Na huyu mtu sio njaa ana standards zake
Ukiona naongelea pesa namaanisha siwezi ingia mahusiano na.mtu ambae hana pesa staki mimi kuambukizwa umaskini.
Nadhani leo hii kitu nimeiweka sawa. Nafanya kazi visenti vidogo navipata, sina njaa ndogo ndogo
Therefore, siwezi. ingia mahusiano na mwanaume njaa bora nikae single.
Utitili hauwezi ingia maishani kwangu.
Nb.kaa ukijua hakuna mwanamke mwenye vipesa vyake vya mboga akateswa na mapenzi.
Siingii mahusiano na mtu kisa ana pesa, no lazima niwe na hisia nae, lazima niwe na malengo nae.
NA SI DATE MME WA MTU.
I date only OQP, only quality people lakini lazima awe sifa za mwanaume ninaemtaka
Nb OQP ni wachache ambao hawajao, so kumpata muda lazima upite.
Remember life its about choice.
Naandika kwa kujiamini coz najua hapa kuna mtu ananijua vizuri tu. So siandiki kuwafurahisha nyinyi, mimi siendekezi njaa. Na si date utitili.
Na umri wangu sio wa kudate vijana vijana come on!!!!