Waturuki wamekuja na mabalaa yao

Waturuki wamekuja na mabalaa yao

waturuki hawajajenga msikiti hata mmoja na wengine sio waislamu pili waturuki wajenga reli wengi wao ni wafungwa wameletwa huku kumalizia siku zao za jela
Unajua unaizungumzia nchi ambayo 99.9% watu wake ni waislamu, kua makini mkuu
 
Kwani mimi.sina zangu? Aisee sijawhi muomba mwanaume pesa, na sijawahi chukua pesa ya mwanaume kama siko. kwenye serious relationship nae. Haijawahi tokea
Tangu niachane na bf wangu 2018, sijawahi ingia mahusiano ambayo nayakumbuka.na kama.niliingia ni ni mahusiano na mtu mmoja tu na hatukufika mbali. Na huyu mtu sio njaa ana standards zake

Ukiona naongelea pesa namaanisha siwezi ingia mahusiano na.mtu ambae hana pesa staki mimi kuambukizwa umaskini.

Nadhani leo hii kitu nimeiweka sawa. Nafanya kazi visenti vidogo navipata, sina njaa ndogo ndogo

Therefore, siwezi. ingia mahusiano na mwanaume njaa bora nikae single.

Utititili hauwezi ingia maishani kwangu.

Nb.kaa ukijua hakuna mwanamke mwenye vipesa vyake vya mboga akateswa na mapenzi.
Siingii mahusiano na mtu kisa ana pesa, no lazima niwe na hisia nae, lazima niwe na malengo nae.

NA SI DATE MME WA MTU.

I date only OQP, only quality.lakini lazima awe sifa za mwanaume ninaemtaka

Nb OQP ni wachache ambao hawajao, so kumpata muda lazima upite.

Remember life its about choice.

Naandika kwa kujiamini coz najua hapa kuna mtu ananijua vizuri tu. So siandiki kuwafurahisha nyinyi, mimi siendekezi njaa. Na si date utitili.

Na umri wangu sio wa kudate vijaba vijana come on!!!!
Mwanangu unajikubali.
 
Ukiambukizwa ngoma kipimo kinaonyesha siku hiyo hiyo?
kwa mujibu wa maelezo yake n wale waturuki ndo waathirika labda huyo dada anatakiwa akae baada ya muda flani ndio akapme na vpmo vikiwa fresh ashukuru mungu kwa kumtolea sadaka maana c mchezo at
 
Kwani mimi.sina zangu? Aisee sijawhi muomba mwanaume pesa, na sijawahi chukua pesa ya mwanaume kama siko. kwenye serious relationship nae. Haijawahi tokea
Tangu niachane na bf wangu 2018, sijawahi ingia mahusiano ambayo nayakumbuka.na kama.niliingia ni ni mahusiano na mtu mmoja tu na hatukufika mbali. Na huyu mtu sio njaa ana standards zake

Ukiona naongelea pesa namaanisha siwezi ingia mahusiano na.mtu ambae hana pesa staki mimi kuambukizwa umaskini.

Nadhani leo hii kitu nimeiweka sawa. Nafanya kazi visenti vidogo navipata, sina njaa ndogo ndogo

Therefore, siwezi. ingia mahusiano na mwanaume njaa bora nikae single.

Utititili hauwezi ingia maishani kwangu.

Nb.kaa ukijua hakuna mwanamke mwenye vipesa vyake vya mboga akateswa na mapenzi.
Siingii mahusiano na mtu kisa ana pesa, no lazima niwe na hisia nae, lazima niwe na malengo nae.

NA SI DATE MME WA MTU.

I date only OQP, only quality.lakini lazima awe sifa za mwanaume ninaemtaka

Nb OQP ni wachache ambao hawajao, so kumpata muda lazima upite.

Remember life its about choice.

Naandika kwa kujiamini coz najua hapa kuna mtu ananijua vizuri tu. So siandiki kuwafurahisha nyinyi, mimi siendekezi njaa. Na si date utitili.

Na umri wangu sio wa kudate vijaba vijana come on!!!!
Tupia kapicha basi tukuthaminishe mrembo.
 
Back
Top Bottom