Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,566
Umehadithiwa hivi wewe ndio unasikia kuhusu waturuki leo, waturuki wanachokozwa hawana shida na mtu, wameletq Neema kwa Dada zetuHawa jamaa watamaliza dada zetu wa morogoro, jamaa walevi wanapenda chini sio kitoto.
Kuna tukio likitokea la kusikitisha sana siku za karibuni.
Walinunua dada poa wakampeleka walipofikia mijamaa ikamchangia minne yote. Hadi asubuhi dada wa watu alishang'ata shuku jamaa walipokamatwa wamepimwa wote wameathirika na wakawa wamefukuzwa kurudi kwao muda huo huo.
Dada zetu wa morogoro na kilosa yote ile mjichunge waturuki ni wahuni sana.