Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Sijui niseme Yes or No but vipo mkiwa serious in love lazima mupime Cha hivyooUna experience na hivyo vipimo mkuu
Sijui niseme Yes or No but vipo mkiwa serious in love lazima mupime Cha hivyooUna experience na hivyo vipimo mkuu
Halaf ni wabahili balaa [emoji16][emoji16]
Walimlipa pesa yake??Huou dadaHawa jamaa watamaliza dada zetu wa Morogoro, jamaa walevi wanapenda chini sio kitoto.
Kuna tukio likitokea la kusikitisha sana siku za karibuni.
Walinunua dada poa wakampeleka walipofikia mijamaa ikamchangia minne yote. Hadi asubuhi dada wa watu alishang'ata shuku jamaa walipokamatwa wamepimwa wote wameathirika na wakawa wamefukuzwa kurudi kwao muda huo huo.
Dada zetu wa Morogoro na kilosa yote ile mjichunge waturuki ni wahuni sana.
Huko mjini huwa mnamaanisha mnaposema:-Soma habari uelewe. Yaani wale majamaa ya Kituruki ndiyo yalipimwa ili kujua status yao ili kama waneathirika dada apatiwe zile dawa za fasta kabla ya masaa 72. Sasa wote wakakutwa wana Ngoma. It means wanayo muda mrefu mpaka kipimo kimesoma.
Hadi asubuhi dada wa watu alishang'ata shuku jamaa walipokamatwa wamepimwa wote wameathirika na wakawa wamefukuzwa kurudi kwao muda huo huo.
Sasa unaenda police kushitaki umebakwa na nani?Na ikaishia hivyo? Hakwenda police wala nini? Acheni habari zenu za vijiweni
Mradi wa standard Gage
Kumbuka mradi unamiaka 4 sasaUkiambukizwa ngoma kipimo kinaonyesha siku hiyo hiyo?
Yupo mmoja anapenda mademu balaa, kiswahili hajui vizuri ila kila demu anayeona What'sApp Status anamtaka.Wanakuwa na jamaa wanajua kiswahili wanafanya não kazi
We hujui nchi hii rushwa ni ugonjwa, kama mtu anapita na unga atashindwa kuachiwa mtu ambae haonyeshi vyeti vya afya kwa ukamilifu ama hata mtu atapita na vyeti feki nani anajali nchi hii,yaani kutoka huko kwao wamekuja tz tayari wagonjwa, mbona haiingiii akilini?
hii ni stori ya kijiwenongwa
Una matatizo YA akili Sio bure jichunguze aisee Na uchukue hatua kabla hali haijawa mbaya, hii hali huwa inakuwa kidgo kidgo Kadri muda unavyosonga.Unawajua vizuri kwa sababu wametembea na mama yako sana mpaka wakampa ukimwi na hayo will haunt you forever [emoji1]
Mpe pole mama mwambie angekaa na baba yako mlevi yasingemkuta haya
Wakome kujiuzaHawa jamaa watamaliza dada zetu wa Morogoro, jamaa walevi wanapenda chini sio kitoto.
Kuna tukio likitokea la kusikitisha sana siku za karibuni.
Walinunua dada poa wakampeleka walipofikia mijamaa ikamchangia minne yote. Hadi asubuhi dada wa watu alishang'ata shuku jamaa walipokamatwa wamepimwa wote wameathirika na wakawa wamefukuzwa kurudi kwao muda huo huo.
Dada zetu wa Morogoro na Kilosa yote ile mjichunge Waturuki ni Wahuni sana.
Migulumbembe [emoji12][emoji14][emoji23]Huyu alikuwa anajifunza, hii mingulubembe ya siku hizi hata muwe 100 inawapanga tu, na bado mkiisha itauliza kuna mwingine?..
Sasa waliwapima ili iweje wakati dada alikuwa kashang'ata shuka.....nyonga wote chapuchapu na Yarpi waliipe familia bilions kadhaa maisha yaendelee..
ETUGRUL BEY njoo uone waturuki wenzio mkuu, na uthibitishe nilichokwambia jana.Wadada wa kitz huna haja YA kuwatetea Sana maana wasipoliwa Mitaro Na waturuki watafumuliwa marinda mtaani. Siku hizi ukiingia porn sites video nyingi za wabongo wanafukuliwa Mitaro yaan imekuwa kama fashion, kikubwa wajielewe waache Tamaa Ila kusema eti kuwatetea Ni kujichosha tu.
luckyline Kuolewa je hutaki? nilijitolee kukufanyia total transformation.Kwani mimi.sina zangu? Aisee sijawhi muomba mwanaume pesa, na sijawahi chukua pesa ya mwanaume kama siko. kwenye serious relationship nae. Haijawahi tokea
Tangu niachane na bf wangu 2018, sijawahi ingia mahusiano ambayo nayakumbuka.na kama.niliingia ni ni mahusiano na mtu mmoja tu na hatukufika mbali. Na huyu mtu sio njaa ana standards zake
Ukiona naongelea pesa namaanisha siwezi ingia mahusiano na.mtu ambae hana pesa staki mimi kuambukizwa umaskini.
Nadhani leo hii kitu nimeiweka sawa. Nafanya kazi visenti vidogo navipata, sina njaa ndogo ndogo
Therefore, siwezi. ingia mahusiano na mwanaume njaa bora nikae single.
Utitili hauwezi ingia maishani kwangu.
Nb.kaa ukijua hakuna mwanamke mwenye vipesa vyake vya mboga akateswa na mapenzi.
Siingii mahusiano na mtu kisa ana pesa, no lazima niwe na hisia nae, lazima niwe na malengo nae.
NA SI DATE MME WA MTU.
I date only OQP, only quality people lakini lazima awe sifa za mwanaume ninaemtaka
Nb OQP ni wachache ambao hawajao, so kumpata muda lazima upite.
Remember life its about choice.
Naandika kwa kujiamini coz najua hapa kuna mtu ananijua vizuri tu. So siandiki kuwafurahisha nyinyi, mimi siendekezi njaa. Na si date utitili.
Na umri wangu sio wa kudate vijana vijana come on!!!!
Amini nakuambia mtu anayekutusi ukimnyamazia au ukamjibu kwa busara huwa anajisikia vibaya sana Ila kama ni mpumbavu ndio atahisi amekukomesha.Mkuu nilichangia uzi kwa heshima aliouweka kuhusu Mbappe
Akanitukana out of blue na kuniita shoga
Nimemjibu kistaarabu hakutaka kunielewa
Nimemshtaki kwa mods hawalioni
Sasa kwanini aendelee kunitukana kila uzi ninaochangia
Wewe umeona yangu tu ila yeye ndio mshenzi
Sawa mkuu nimekuelewa msamehe tu, binafsi huwa najisikia vibaya sana watu wanapowaongelea vibaya wazaz kwenye mitafaruku yao.Pitia comments zangu ukiona nimemtusi mtu zaidi ya huyo naenda mirembe
I respect you a lot bro
Ila huyo dogo kanivunjia heshima sana na hanijui
Kweli mkuu ulikuwa sahihi kabisa katika Yale maelezo yakoETUGRUL BEY njoo uone waturuki wenzio mkuu, na uthibitishe nilichokwambia jana.
Heshima yako ni kubwa hapa jukwaani mkuu usiiporomoshe kwaajili ya vijana wadogo wasiojielewa, please acha hii battle na ufute hizo comments.Pitia comments zangu ukiona nimemtusi mtu zaidi ya huyo naenda mirembe
I respect you a lot bro
Ila huyo dogo kanivunjia heshima sana na hanijui
Aamyn.Kweli mkuu ulikuwa sahihi kabisa katika Yale maelezo yako
Baadae tutakuja kuwa na kizazi cha hovyo sana.
Mwenyezi Mungu atuhifadhi