Watumishi wanaitishana 'roll call' Zanzibar...

Status
Not open for further replies.
Nimezungumza na mmoja wa watumishi wa mashirika ya kimataifa (one of UN agencies) huko Zanzibar jana usiku na kitu kimoja cha kunishtua kuwa alikuwa anasubiria "roll call'. Nilipomdadisi akasema kuwa siku hiizi baadhi ya mashirika ya kimataifa na hata ya ndani yameanza kuwataka wafanyakazi wao kutembea na radio call na ikifika majira ya jioni basi wanatakiwa ku 'call in' kucheck kuwa wapo salama... na pia mkubwa wao kuita radios za watumishi kuhakikisha wanajibu.. mfanyakazi ambaye katika muda husika hawezi kupatikana kwenye radio call yake husababisha msako...

Kweli Zanzibar imefika hapo...? Kuna wengine wenye experiences kama hii au ni one of the 'isolated cases" hizi?

Monday, 11 February 2013

MACHAFUKO KATI YA WAISLAMU NA WAKIRISTO GEITA, MCHUNGAJI ACHINJWA HADI KUUAWA

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Hivi ndivyo anavyoonekana Majeruhi Yasin Rajabu na hapa akiwa amelazwa katika wod namba 8 Hospitali ya wilaya ya Geita kwaajili ya kupatiwa matibabu.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TD="class: tr-caption, align: center"]Hivi ndivyo anavyoonekana Majeruhi Said Ntahompagaze aliyejeruiwa mguu wakati wa vurugu za waislam na wakristu wachache zilizotokea leo katika kijiji cha Buseresere wilayani Chato mkoani Geita na kusababisha shughuli mbalimbali kusimama.

[TD="class: tr-caption, align: center"]Majeruhi Vicent Damon akiwa amelazwa wod na 8 hospitali ya wilaya ya Geita aliyejeruiwa wakati wa vurugu za waislam na wakristu wachache zilizotokea leo katika kijiji cha Buseresere wilayani Chato mkoani Geita na kusababisha shughuli mbalimbali kusimama.

[TD="class: tr-caption, align: center"]Majeruhi Sadick Yahaya.

[TD="class: tr-caption, align: center"]Majeruhi Ramadan aliyejeruiwa wakati wa vurugu za waislam na wakristu wachache zilizotokea leo katika kijiji cha Buseresere wilayani Chato mkoani Geita na kusababisha fukuto kubwa la vurugu zilizosababisha shughuli mbalimbali kusimama.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Machafuko makubwa yametokea leo katika kijiji cha Buseresere Wilayani Chato Mkoani Geita kati ya waslam na wakristu na kupelekea watu 10 kujeruhiwa vibaya kwa mapanga huku mchungaji wa kanisa la Pentekoste Assemblies of God Mathayo Kachila (45) akipoteza maisha kwa kuchinjwa na watu wanaodaiwa ni waumini wadini ya kiislam kisha mwili wake kutelekezwa kwenye vibanda vya maduka ambavyo vilikuwa jirani na eneo hilo.

Habari za kaminika eneo la tukio hilo lililotokea majira ya asubuhi zimeeleza kuwa chanzo cha machafuko hayo ni watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wadini ya kiislam kuvamia bucha lililokuwa likiwauzia nyama wakristo wa kijiji hicho waliokuwa wamepanga foleni kwa wingi kusubili huduma hiyo.

Imeelezwa kuwa Wakristu hao walikuwa wamechinjia ng'ombe mmoja na mbuzi wawili eneo la Kanisani kabla ya kuleta nyama hiyo katika bucha hilo lililopo eneo la Buselesele Sokoni na ndipo walipokumbana na kadhia hiyo ya waislamu.

Tukio hilo lilianza majira ya saa 2 asubuhi muda mfupi baada ya nyama kuwasili katika bucha hilo la wakristu kwa ajili ya kuuzwa jambo linalodaiwa liliwakera waislam ambao waliivamia bucha hiyo kwa lengo la kuifunga.

Wakati wakristo wakitafakari uwepo wa waislam kwenye bucha lao lililpambwa kwa maandishi BWANA YESU ASIFIWE,YESU NI BWANA, ndipo waislam ambao kwa wakati huo walikuwa wametapakaa mtaani kwa lengo la kuhamasishana waliongezeka eneo lilipo bucha hilo na kisha kuimwagia nyama iliyokuwa kwenye bucha hilo vitu vinavyodaiwa kuwa ni sumu.

Kutokana na hali hiyo wakiristo walionekana kukerwa na kitendo cha waislam kuimwagia nyama hiyo vitu hivyo na kisha mapambano yalianza baina ya wakristu na waislam ambapo mbali na wakristu kutumia mawe waislamu wao walitumia mapanga na majambia.

Hata hivyo wakati mapambano hayo yakiendelea mchungaji huyo ambaye kwa sasa ni marehemu alifika eneo la tukio ili kujua kulikoni na ndipo naye alipojikuta akishambuliwa kwa mapanga sehemu mbalimbali za kichwa chake na alifia njiani wakati akikimbizwa katika hospital ya Wilaya ya Geita kwa matibabu zaidi.

Mbali na mchungaji huyo kupoteza maisha,wengine waliojeruhiwa ni pamoja na Said Ntahompagaze(45),Sadick Yahaya(40),Yasin Rajab(56),Vicent Damon(22),wote wakazi wa Buselesele na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Ramadhani ambaye yuko mahututi katika wodi namba nane katika hospital ya wilaya ya Geita.

Hata hivyo watu wengine watano ambao majina yao hayakuweza kupatikana mara moja walitibiwa na kuruhusiwa kutokana na hali zao kuwa nzuri.

Jeshi la polisi Wilayani Chato na Geita lilifika eneo la tukio hilo majira ya saa 4:30 na kukuta uharibifu mkubwa umekwishafanyika ikiwa ni pamoja na kukuta duka la Mwenyekiti wa BAKWATA wilaya ya Chato Yusuph Idd linalotumika kwa biashara ya M-Pesa na vinywaji baridi likiwa linateketea kwa moto uliodaiwa kuwashwa na waumini wa dini ya kiislam.

Mkuu wa Wilaya ya Chato Ludorick Mpogolo aliyefika eneo la tukio muda mfupi baada ya polisi kuwasili eneo hilo mbali na kusikitishwa na kitendo hicho aliwataka wananchi kuwa watulivu wakati serikali ikiangalia njia sahihi za kutatua mgogoro huo ambao unakuwa kwa kasi kila kukicha.

Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti hili mkuu wa Mkoa wa Geita Magalula Said Magalula mbali na kuthibitisha kuwepo kwa tukio hilo, alionyesha kukerwa na watu ambao wanafurahia vurugu zisizo na msingi na kuonya kuwashughulikia wale wote watakaobainika ni wachochezi wa masuala ya kidini.

Habari na picha kwa hisani ya Gsengo Blog

MUTAUWANA SANA MWAKA HUU WATANGANYIKA UBAYA NA CHUKI ZENU ZIDI YA WAZANZIBARI ZITAKURUDIENI WENYENU KWA EWEZO WA M/MUNGU KILA UBAYA MULIOKUSUDIA PROPAGANDA NA AGENDA CHAFU DHIDI YA WAZANZIBARI HAMUTOFANIKIWA
 
We bwana usijifanye hujui, Zanzibar sasa hivi ni kichefuchefu na si mahali salama kuishi.

"Rafiki yangu na familia yake wanataka waje Zanzibar mwezi March..kaniuliza hivi," I had heard that you killing each other, is that true? Tell me my friend if is safe to come or to cancel the tour, I know you miss us but We will meet even if We do not come..."

Nimeshikwa na kigugumizi..naiangalia e-mail siku ya tatu sasa nashindwa nijibu nini? Maana mwenyewe naogo."

Ujumbe huu nimeupata kutoka kwa rafiki yangu aliyeko ZNZ, je tumefikia hapa?
HAJAKUULIZA KAMA ANATAKA KUJA TANGANYIKA PIA....---- MKUBWA WEE

Monday, 11 February 2013

MACHAFUKO KATI YA WAISLAMU NA WAKIRISTO GEITA, MCHUNGAJI ACHINJWA HADI KUUAWA

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Hivi ndivyo anavyoonekana Majeruhi Yasin Rajabu na hapa akiwa amelazwa katika wod namba 8 Hospitali ya wilaya ya Geita kwaajili ya kupatiwa matibabu.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Hivi ndivyo anavyoonekana Majeruhi Said Ntahompagaze aliyejeruiwa mguu wakati wa vurugu za waislam na wakristu wachache zilizotokea leo katika kijiji cha Buseresere wilayani Chato mkoani Geita na kusababisha shughuli mbalimbali kusimama.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Majeruhi Vicent Damon akiwa amelazwa wod na 8 hospitali ya wilaya ya Geita aliyejeruiwa wakati wa vurugu za waislam na wakristu wachache zilizotokea leo katika kijiji cha Buseresere wilayani Chato mkoani Geita na kusababisha shughuli mbalimbali kusimama.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Majeruhi Sadick Yahaya.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Majeruhi Ramadan aliyejeruiwa wakati wa vurugu za waislam na wakristu wachache zilizotokea leo katika kijiji cha Buseresere wilayani Chato mkoani Geita na kusababisha fukuto kubwa la vurugu zilizosababisha shughuli mbalimbali kusimama.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Machafuko makubwa yametokea leo katika kijiji cha Buseresere Wilayani Chato Mkoani Geita kati ya waslam na wakristu na kupelekea watu 10 kujeruhiwa vibaya kwa mapanga huku mchungaji wa kanisa la Pentekoste Assemblies of God Mathayo Kachila (45) akipoteza maisha kwa kuchinjwa na watu wanaodaiwa ni waumini wadini ya kiislam kisha mwili wake kutelekezwa kwenye vibanda vya maduka ambavyo vilikuwa jirani na eneo hilo.

Habari za kaminika eneo la tukio hilo lililotokea majira ya asubuhi zimeeleza kuwa chanzo cha machafuko hayo ni watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wadini ya kiislam kuvamia bucha lililokuwa likiwauzia nyama wakristo wa kijiji hicho waliokuwa wamepanga foleni kwa wingi kusubili huduma hiyo.

Imeelezwa kuwa Wakristu hao walikuwa wamechinjia ng'ombe mmoja na mbuzi wawili eneo la Kanisani kabla ya kuleta nyama hiyo katika bucha hilo lililopo eneo la Buselesele Sokoni na ndipo walipokumbana na kadhia hiyo ya waislamu.

Tukio hilo lilianza majira ya saa 2 asubuhi muda mfupi baada ya nyama kuwasili katika bucha hilo la wakristu kwa ajili ya kuuzwa jambo linalodaiwa liliwakera waislam ambao waliivamia bucha hiyo kwa lengo la kuifunga.

Wakati wakristo wakitafakari uwepo wa waislam kwenye bucha lao lililpambwa kwa maandishi BWANA YESU ASIFIWE,YESU NI BWANA, ndipo waislam ambao kwa wakati huo walikuwa wametapakaa mtaani kwa lengo la kuhamasishana waliongezeka eneo lilipo bucha hilo na kisha kuimwagia nyama iliyokuwa kwenye bucha hilo vitu vinavyodaiwa kuwa ni sumu.

Kutokana na hali hiyo wakiristo walionekana kukerwa na kitendo cha waislam kuimwagia nyama hiyo vitu hivyo na kisha mapambano yalianza baina ya wakristu na waislam ambapo mbali na wakristu kutumia mawe waislamu wao walitumia mapanga na majambia.

Hata hivyo wakati mapambano hayo yakiendelea mchungaji huyo ambaye kwa sasa ni marehemu alifika eneo la tukio ili kujua kulikoni na ndipo naye alipojikuta akishambuliwa kwa mapanga sehemu mbalimbali za kichwa chake na alifia njiani wakati akikimbizwa katika hospital ya Wilaya ya Geita kwa matibabu zaidi.

Mbali na mchungaji huyo kupoteza maisha,wengine waliojeruhiwa ni pamoja na Said Ntahompagaze(45),Sadick Yahaya(40),Yasin Rajab(56),Vicent Damon(22),wote wakazi wa Buselesele na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Ramadhani ambaye yuko mahututi katika wodi namba nane katika hospital ya wilaya ya Geita.

Hata hivyo watu wengine watano ambao majina yao hayakuweza kupatikana mara moja walitibiwa na kuruhusiwa kutokana na hali zao kuwa nzuri.

Jeshi la polisi Wilayani Chato na Geita lilifika eneo la tukio hilo majira ya saa 4:30 na kukuta uharibifu mkubwa umekwishafanyika ikiwa ni pamoja na kukuta duka la Mwenyekiti wa BAKWATA wilaya ya Chato Yusuph Idd linalotumika kwa biashara ya M-Pesa na vinywaji baridi likiwa linateketea kwa moto uliodaiwa kuwashwa na waumini wa dini ya kiislam.

Mkuu wa Wilaya ya Chato Ludorick Mpogolo aliyefika eneo la tukio muda mfupi baada ya polisi kuwasili eneo hilo mbali na kusikitishwa na kitendo hicho aliwataka wananchi kuwa watulivu wakati serikali ikiangalia njia sahihi za kutatua mgogoro huo ambao unakuwa kwa kasi kila kukicha.

Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti hili mkuu wa Mkoa wa Geita Magalula Said Magalula mbali na kuthibitisha kuwepo kwa tukio hilo, alionyesha kukerwa na watu ambao wanafurahia vurugu zisizo na msingi na kuonya kuwashughulikia wale wote watakaobainika ni wachochezi wa masuala ya kidini.

Habari na picha kwa hisani ya Gsengo Blog

MUTAUWANA SANA MWAKA HUU WATANGANYIKA UBAYA NA CHUKI ZENU ZIDI YA WAZANZIBARI ZITAKURUDIENI WENYENU KWA EWEZO WA M/MUNGU KILA UBAYA MULIOKUSUDIA PROPAGANDA NA AGENDA CHAFU DHIDI YA WAZANZIBARI HAMUTOFANIKIWA
 
Nimezungumza na mmoja wa watumishi wa mashirika ya kimataifa (one of UN agencies) huko Zanzibar jana usiku na kitu kimoja cha kunishtua kuwa alikuwa anasubiria "roll call'. Nilipomdadisi akasema kuwa siku hiizi baadhi ya mashirika ya kimataifa na hata ya ndani yameanza kuwataka wafanyakazi wao kutembea na radio call na ikifika majira ya jioni basi wanatakiwa ku 'call in' kucheck kuwa wapo salama... na pia mkubwa wao kuita radios za watumishi kuhakikisha wanajibu.. mfanyakazi ambaye katika muda husika hawezi kupatikana kwenye radio call yake husababisha msako...

Kweli Zanzibar imefika hapo...? Kuna wengine wenye experiences kama hii au ni one of the 'isolated cases" hizi?
UMESHWA MUELEZEA YALIYOWAKUTA AKINA ULIMBOKA NA DAUDI??

Ukweli ni kwamba huku bara mauaji ni almost daily,tena ya kutisha,watuletee na huku hiyo FBI.

mkuu watu wanaangalia upande mmoja tu...hata wamewasahau watetezi wa wanyonge wa Tanganyika DAUDI ULIMBOKA NA WENGINE WENGI 😛layball:
😛layball:😛layball:
 
Ulitaka wasifanye?

Wewe unaongelea wafanyakazi wa UN? Tanzania bara kuna sehemu nyingi tu hata Watanzania wa kawaida hawawezi kukatiza bila police au armed escort. Hivi hamuyajui hayo au basi ili mradi mtetee ubaguzi wa ujinga?

Mimi nimejibu kutokana na uzi ulipo kwenye mjadala, hususan wafanyakazi wa UN nikasema hivi, radio call kila mmoja anatakiwa awe nayo na kuna utaratibu wa kufanya radio cheki kuona kwamba mawasiliano ya uhakika yapo endapo dharura, janga lolote litatokea iwe rahisi kujua watu wako wapi na namna ya kuwafikia ili kupatiwa msaada.

Zoezi hili hutiliwa mkazo zaidi wakati wa machafuko na majanga mfano furugu za uamsho, meli kuzama n.k, kwa mantiki hiyo kila panapotokea hali yeyote inayoashiria kupelekea kuhatarisha amani (bila kujali ni za kidini au la), hao jamaa hutilia zaidi mkazo hilo zoezi la radio cheki.

Na kudhibitisha hilo, nikakwambia ulizia kama staff wa UN bara wana hii habari ya radio call cheki, wewe unaniambia watu wa mashirika mengine, naomba nikukumbushe wafanyakazi wa BoT wakati wa vurugu za uamsho walikua wanasindikizwa na polisi. Nilikua najibu hoja iliyopo na sioni sababu ya kueleza kila nnachokifaham.

Mkuu, unamaanisha kwamba NI KWELI RADIO CALL CHECKS INAFANYIKA ZANZIBAR??
Lakini tishio lililopo zanzibar ni dhidi ya wakristo labda na kwa kiasi fulani dhidi ya watanganyika, sasa nini kinawatia hofu UN au ndio wanataka kuanzisha propaganda kwamba Zanzibar is insecure in every aspect?

Kuhusu radio call cheki, ni kama nilivyoeleza hapo juu, inafanyika siku zote kwa hao wafanyakazi wa UN.

Kwa ufupi ni kwamba machafuko/vurugu zozote zinapotokea huwezi kujua nani ni mlengwa, sina uhakika sana kama kinachoendelea Zanzibar walengwa ni watanganyika na wakristo nnachofaham ni kwamba hao UN ni jukumu lao kuwahakikishia usalama wafanyakazi wao dhidi ya vurugu zozote zile ziwe za kidini au kisiasa. Ikumbukwe kwamba kuna wafanya kazi wa kutoka bara, wakristo na waislam bila kusahau wale wa kimataifa.

Kitu kinachowaongezea hofu, niliwahi fuatilia nikaambiwa kuna kikundi kiliwahi kupeleka barua kwenye hizo ofisi za UN Zanzibar wakitaka iende kwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa ili aeleze nafasi yao katika kuutambua muungano. Kwa habari zaidi Mzee Mwanakijiji aulizie zaidi kwa hao wafanya kazi wa UN Zanzibar.
 
Last edited by a moderator:
Nimezungumza na mmoja wa watumishi wa mashirika ya kimataifa (one of UN agencies) huko Zanzibar jana usiku na kitu kimoja cha kunishtua kuwa alikuwa anasubiria "roll call'. Nilipomdadisi akasema kuwa siku hiizi baadhi ya mashirika ya kimataifa na hata ya ndani yameanza kuwataka wafanyakazi wao kutembea na radio call na ikifika majira ya jioni basi wanatakiwa ku 'call in' kucheck kuwa wapo salama... na pia mkubwa wao kuita radios za watumishi kuhakikisha wanajibu.. mfanyakazi ambaye katika muda husika hawezi kupatikana kwenye radio call yake husababisha msako...

Kweli Zanzibar imefika hapo...? Kuna wengine wenye experiences kama hii au ni one of the 'isolated cases" hizi?
Ndio maana halisi ya neno ''Terrorism'' kwamba una instill fear na anxiety katika jamii.

Kwahilo Zanzibar wamefanikiwa sana.
 
Mimi nimejibu kutokana na uzi ulipo kwenye mjadala, hususan wafanyakazi wa UN nikasema hivi, radio call kila mmoja anatakiwa awe nayo na kuna utaratibu wa kufanya radio cheki kuona kwamba mawasiliano ya uhakika yapo endapo dharura, janga lolote litatokea iwe rahisi kujua watu wako wapi na namna ya kuwafikia ili kupatiwa msaada.

Zoezi hili hutiliwa mkazo zaidi wakati wa machafuko na majanga mfano furugu za uamsho, meli kuzama n.k, kwa mantiki hiyo kila panapotokea hali yeyote inayoashiria kupelekea kuhatarisha amani (bila kujali ni za kidini au la), hao jamaa hutilia zaidi mkazo hilo zoezi la radio cheki.

Na kudhibitisha hilo, nikakwambia ulizia kama staff wa UN bara wana hii habari ya radio call cheki, wewe unaniambia watu wa mashirika mengine, naomba nikukumbushe wafanyakazi wa BoT wakati wa vurugu za uamsho walikua wanasindikizwa na polisi. Nilikua najibu hoja iliyopo na sioni sababu ya kueleza kila nnachokifaham.

Kuhusu radio call cheki, ni kama nilivyoeleza hapo juu, inafanyika siku zote kwa hao wafanyakazi wa UN.

Kwa ufupi ni kwamba machafuko/vurugu zozote zinapotokea huwezi kujua nani ni mlengwa, sina uhakika sana kama kinachoendelea Zanzibar walengwa ni watanganyika na wakristo nnachofaham ni kwamba hao UN ni jukumu lao kuwahakikishia usalama wafanyakazi wao dhidi ya vurugu zozote zile ziwe za kidini au kisiasa. Ikumbukwe kwamba kuna wafanya kazi wa kutoka bara, wakristo na waislam bila kusahau wale wa kimataifa.

Kitu kinachowaongezea hofu, niliwahi fuatilia nikaambiwa kuna kikundi kiliwahi kupeleka barua kwenye hizo ofisi za UN Zanzibar wakitaka iende kwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa ili aeleze nafasi yao katika kuutambua muungano. Kwa habari zaidi Mzee Mwanakijiji aulizie zaidi kwa hao wafanya kazi wa UN Zanzibar.

Nashukuru sana kwa maelezo yako, basi tatizo liko kwa Mzee Mwanakijiji sababu aliiwasilisha hii mada kwa namna inayoleta ujumbe kwamba Hali ya kiusalama Zanzibar ni mbaya sana.

Kwa maelezo haya, kinachofanywa na hayo mashirika ya nje hakina tofauti na mzazi kuwaelekeza wanafamilia wake kuwa nyumbani mapema tofauti na siku za nyuma, kwa sababu ni kweli hali haiko sawa.
 
baada ya kupata info fulani fulani,nachelea kukubali kirahisi suala la znz kujitenga.tusikubali kirahisi watz kwa sababu msukumo wa znz kujitenga unatoka nje ya znz na unaendeshwa na watu wachache wanaojua the REAL AGENDA.wananchi wengi wa znz wamerubuniwa na kukubali kusapoti ishu hii kwa AJENDA ZA NJE lakini AJENDA ZA NDANI NA SABABU ZAKE ni wachache wanajua.Znz inataka kutumika kama ngome ya kuingilia bara.mlengwa ni east africa nzima na kuna mtandao mzito unaotaka kujengwa znz,mombasa na somalia.kuna kitu hapa!waungwana hatuwezi kukisema tu hapa barabarani![/Q
Mkuu ni kweli, kuna ishu nzito nyuma ya Ajenda za Kigeni, Zanzibar ikipata uhuru toka Tanzania, watapewa silaha na makombora na nchi zote za kiarabu watuchape mpaka tuikimbie pwani yote ya Tanganyika iliyowahi kuwa himaya ya Sultani, hata kama hawatashinda lakini wameshatuingiza matatizoni. bora tugande hapa hapa madhali mpini tunao sie. tutoe shinikizo la serikali MOJA
 
Hapa sasa naona umeamua kukata mzizi wa fitina..shida kubwa ni kwamba watu wengi huwa tunavamia hoja kwa ushabiki bila kujua ukweli wenyewe. Mfano kuulizwa na mtu aliyeko nje ya nchi na ambaye ana kawaida ya kuja ZNZ kila mwaka, kwamba nimesikia hali si shwari hapo ZNZ sio kosa. Mimi mwenyewe sipo East Africa lakini napata habari kupitia vyombo mbalimbali kwapo hali si shwari.
Sasa anaanza kusema ubaguzi wa kijinga, mbona hamsemi ya Tanganyika, Mbona geita, mara David Ulimboka...huyu David Ulimboka sijamsikia labda kama alimaanisha Dkt Steven Ulimboka, lakini hii si hoja.
Kinachotokea ZNZ sasa hivi ni kwamba Wazanzibari wengi wameaminishwa kwamba muungano unawanyonya. Waliofanya hivyo ni watu wanaosema wao wanamcha Mungu na wanatetea haki za Wazanzibari (UAMSHO). Lakini ukimuuliza mzanzibari mmoja mmoja ananyonywa vipi na ananufaika vipi na muungano hawana majibu.
Muungano utakapovunjika ndipo Watajua thamani yake..ZNZ haitakuwa salama hata kidogo na Tanganyika itatumia gharama kubwa sana kujilinda kuliko sasa.

Kifupi ajenda ipo nyuma ya Muungano na si muungano. Hapa ni barabarani hatuwezi kusema yote lakini hali isipodhibitiwa haraka Afrika mashariki na kati si salama.

Mungu atunusuru.
 
Hapa sasa naona umeamua kukata mzizi wa fitina na kuanza kuelimisha umma..shida kubwa ni kwamba watu wengi huwa tunavamia hoja kwa ushabiki bila kujua ukweli wenyewe. Mfano kuulizwa na mtu aliyeko nje ya nchi na ambaye ana kawaida ya kuja ZNZ kila mwaka, kwamba nimesikia hali si shwari hapo ZNZ sio kosa. Mimi mwenyewe sipo East Africa lakini napata habari kupitia vyombo mbalimbali kwamba ZNZ hali si shwari.
Sasa anaanza kusema ubaguzi wa kijinga, mbona hamsemi ya Tanganyika, Mbona geita, mara David Ulimboka...huyu David Ulimboka sijamsikia labda kama alimaanisha Dkt Steven Ulimboka, lakini hii si hoja.
Kinachotokea ZNZ sasa hivi ni kwamba Wazanzibari wengi wameaminishwa kwamba muungano unawanyonya. Waliofanya hivyo ni watu wanaosema wao wanamcha Mungu na wanatetea haki za Wazanzibari (UAMSHO). Lakini ukimuuliza mzanzibari mmoja mmoja ananyonywa vipi na ananufaika vipi na muungano hawana majibu.
Muungano utakapovunjika ndipo Watajua thamani yake..ZNZ haitakuwa salama hata kidogo na Tanganyika itatumia gharama kubwa sana kujilinda kuliko sasa.

Kifupi ajenda ipo nyuma ya Muungano na si muungano. Hapa ni barabarani hatuwezi kusema yote lakini hali isipodhibitiwa haraka Afrika mashariki na kati si salama.

Mungu atunusuru.
 
sijakuelewa? lakini kwa swala la namba, mungu ni wengi sana. hii ni expert comment lakini, hakikisha kwamba na wewe ni expert katika haya mambo kabla ya kukubaliana na mimi.

Mkuu Maganya Nyango

Kama halikuwa kosa la kiuandishi, nahofia kuibua mjadala mpya. Mimi sina uexpert wowote dugu. Nakubali yaishe tu

Nilifikiri umekosea badala ya (y) uliteleza na kuweka (z). Kama ni sahihi maandishi yako, sawa bana.
Kwa hiyo Mungu zako ziko ngapi?..... usijibu bana....unaweza kunivunja mbavu!
 
Lakini Wazanzibar wengi wamechukizwa sana na kitendo hicho (cha Mauaji ya Fr. Mushi), maana jana niliongea na watu kadhaa wa huko Zanj na walisema Zanj ilikuwa imepoa sana siku nzima na majority hawakupendezwa kabisa na walikuwa wanalaani hiyo hali

Wanafiki hao! Mznz wa leo anakupa mkono mmoja na anakumabia nakupenda sana wewe ni rafiki yangu wa karibu sana lakini mkono mwingine umeicha jambia kwa nyuma.
 
Magurudumu

Hao itakuwa ni wazanzibari au wamasai hao? Nimepata taarifa kuwa kuna wamasai wengi kwa sasa Zanzibar, wanachangamkia kazi za ulinzi. Huenda umeona singe au vifimbo ambavyo ndani yake kuna singe.
Ni kama hawa hao uliowaona? Kama ni kama hawa, ndio kweli wewe hujui wamasai?

SuperStock_1890-8277.jpg

Maasai tribesmen in colourful native dress playing football on the beach, Paje, Zanzibar, Tanzania, East Africa, Africa

Link SuperStock - Maasai tribesmen in colourful native dress playing football on the beach, Paje, Zanzibar, Tanzania, East Africa, Africa

Kama una simu ya kichina chukua picha zao tuone hizo jambia zao.
 
Eti wanataka kujitenga!
Alafu wakiisha jitenga baade watusumbue kwa mapigano ya wenyewe kwa wenyewe
Dawa yao tuwaweke kwenye probation period ya miaka 50! Kabla ya kuwaachia huru

kwani sasa tunawatawala?,mbona wapo huru sana kuliko sisi...wanatuchagulia makamu wetu wa Raisi tena kwa kura na makamu wa pili juu, sisi hatumpigii kura kiongozi wao yeyote hata balozi wa nyumba 10...

wanavyoita watu wa bara makafiri, sasa na waislamu waliojaa huku bara wanawaweka kwenye kundi gani? Raisi wa bara muislamu, makamu wote wawili waislamu, viongozi wakuu wa polisi waislamu, makarani wao wa sensa waislamu, polisi wanao pigana nao mitaani kwao kila siku wakiandamana waislamu....hayo manyanyaso wanayopata exclusive kutoka kwa wakristo yapo wapi??
 
Wanasema ni nchi kamili(Maalim + katiba) then waanza kufanya mauaji ya watu huku wakitegema utalii na karafuu. Nani atafanya utalii kwenye maeneo hatari ya kigaidi, mfanyabishara gani atakwenda huko ili hari hana ukakika wa kurudi salama yeye binafsi na pesa zake, mwekezaji gani atapeleka mradi wake huko. Waulize jilani zetu Kenya kwa nini waliingia Vitani Somalia
 
Ugoigoi wa viongozi wa CCM na serikali yake utazalisha Somalia ya pili Zanzibar. Na Zanzibar ikigeuka Somalia, usalama wa Tanganyika utakuwa mashakani. Tufanye kama Kenya. Tuanze msako ili kukamata magaidi wote Zanzibar. Hata viongozi wakubwa wanaofadhili uamusho na ugaidi wasakwe. Zanzibar ni ya ajabu sana kwani tangu uamusho aka magaidi waanze fujo bado wanachekewa tu na serikali ya Mapinduzi pamoja na ile ya muungano. Cha ajabu ni kwamba hadi sasa chama cha uamusho hakijafutwa hadi leo maana yake ni nini? Au viongozi wa Zanzibar wapo behind the movie? Watuambie

Back
Top Bottom