Nikiwa km mfanyakazi wa serikali,ninaichukia CCM na sikuwahi kufikiri katika maisha yangu kuwa nitakuja kukichukia chama chochote hivi.
Naamini mwisho wa ccm ni oktoba hii
same applied to me, yaani mie nlikua UVCCM kabisa na 2005 nilichagua CCM ila ssa hv bora maiti au kinyesi kuliko CCM nikiona mwl anashabikia CCM naona km ana upungufu wa akili
Tumeboreshewa sana maslahi kuanzia mishahara mpaka night allowance nadhani umejionea kuanzia mwezi July.tutamchaguwa magufuli.hapa kazi tu. Walimu waache kudanganya wanatoa taarifa za uwongo kuitia hasara serikali.

tuloanza kazi mwaka wa uchaguzi raha, no longo lingo, nimelipwa madai yootee sidaiani na mtu...yani hii serikali ni ya matukio sana, hadi natamani kila mwaka uwe uchaguzi.
Tumeboreshewa sana maslahi kuanzia mishahara mpaka night allowance nadhani umejionea kuanzia mwezi July.tutamchaguwa magufuli.hapa kazi tu. Walimu waache kudanganya wanatoa taarifa za uwongo kuitia hasara serikali.
Lowasa is inevitable
kwani mmeshahakikishiwa kwamba muibe tu kura no problemOnly death is inevitable!
kwani mmeshahakikishiwa kwamba muibe tu kura no problem
Uchokozi unautafuta mwenyewe ukisemwa.......wewe haya tu.
Mwaka huu lazima ulie na liCCM lako.
Wewe unadai malimbikizo ( arrears) ambayo hulipwa kutoka hazina na hulipwa kwa awamu.taarifa ipi ya uongo?mi 2013 wamenipandisha kutoka D kwenda E nnawadai mishahara ya miezi miwili mei na june hawajanilipa labda km mkurugenzi amekula na DEO
kuna sisy wangu nwanajeshi form four failure mshahara anaopokea anamzidi wa bachelor mwl
yani walimu kuichagua CCM ni laan YA MWISHO
Labda sio wewe ninaekusoma huku JF.Post zako nyingi tena karibia ya zote unaisifia CCM na kuiponda Chadema/UKAWA.Hapa ndio tunapokosea....kwani siwezi kuipinga ukawa bila kuwa ccm??? Au siwezi kuipinga ccm bila kuwa ukawa??!! Mimi nina misimamo yangu sipo kichama.
Labda sio wewe ninaekusoma huku JF.Post zako nyingi tena karibia ya zote unaisifia CCM na kuiponda Chadema/UKAWA.
Kua real, acha haya maigizo.
Katika mambo Magufuli atayashughulikia haraka ni maslai ya walimu... ikiwemo kuwaongeza mishahara na posho na hii itakuwa maalum kwa Walimu!mwaka huu wameanza kulipa madeni si wanajua uchaguzi sie mwakani tutajuta tutapanda daraja nusu na malimbikizo juu