Watumishi wa Umma njooni tukubaliane

Watumishi wa Umma njooni tukubaliane

Hapa sio mahala pake kamanda, sorry hii ni social gathering, mambo yenu ya utumishi sijui nini tafuteni forum yenu peke yenu. Hapa mnatujazia simu sisi wengine hatuna cha kuchangia. Si mna viongozi wenu wa wafanyakazi si mkaongelee huko. Pls plse

'Social gathering' unamaamisha nini? Tambua maana halis ya maneno kabla ya kuyaandika
 
Unajua akili yetu wa tz ni kudhan kila kitu kinakuja kwa gafla hasa masuala ya mfumo na maendeleo. Kwa fikra za haraka utasema ccm wakitoka mambo yatakuwa sawa. Si kweli itachukua hata 10 to 15 yrs kila kitu kurudi vizuri. Matatizo ya mishahara, ajira, malimbikuzo, deni la taifa halijaanza jana wala leo. Hata nchi kubwa dunian wanachangamoto hizo hizo. So si rahisi vyote vikawa sawa kwa stail hiyo. Kwa mtumishi wa umma mshahara tu haukutoshi kutokana na mabadiliko ya dunian. Fikiria njia mbadala hata kuwa na bness za ziada kuliko kudhan utakidhiwa kila kitu na gov. Kama msomi mwelewa unaetumika kwa jamii funguka kwa kutafuta maendeleo yako binafsi kuliko kudhan siasa ndio itakupa utajirisho.

Kwahiyo unataka ccm itawale milele au?
 
hapa bora twendelee kuwakumbatia mafisadi wetu wengi kuliko hawa wawili waliotoroka watakula jeur yao walikotorokea
 
Watumishi wenzangu wa umma bila kujali cheo wala ngazi ya mshahara,bila kujali ni permanent and pensionable ama ni mkataba,nawaalika hapa ili tujadili na kukubaliana kuhusu hatma yetu Octoba 25.

Katika mjadala wetu tujadili juu ya mazingira ya kazi kwa ujumla ikiwa pamoja na stahiki zetu.Kwa kuanzia tu niseme mimi kama afisa mwandamizi wa serikali naona watumishi tuna changamoto nyingi sana ambazo zimekosa majibu na utatuzi.Mojawapo ikiwa ni gap kati ya maslahi yetu na wanasiasa.

Wanasiasa wanakula nchi mpaka mbegu.Mfano ni ukata uliokumba ofisi zetu mwaka huu,lakini unaweza kusikia mamilioni na mabiliöi kuhonga wanasiasa.Mnasemaje kuhusu PAYE kwenye mishahara ukilinganisha na misamaha ya kodi kwa makambuni makubwa ya kibiashara. Watumishi wenzangu mnasemaje kuhusu wanasiasa kuwa ndio kila kitu nchi kiasi cha taaluma zetu kuwa dumped.

Mfano mzuri ni jinsi bajeti ilivyovurugwa mwaka wa fedha uliopita na unaoendelea.Watumishi bunge la katiba halikuwa kwenye bajeti na pesa zimetafunwa.Mambo ya maabara yamekwapua Grants zote na Mapato ya Ndani.

Unajua hujalipwa stahili zako ngapi kutokana na lack of budget displine?Sasa ndugu watumishi tunafanyaje Oct 25?Ni kweli CCM bado inatosha?

Tujadili hapa.
Nimekustukia, wewe unapiga kampeni hapa!!
 
Tumechoka lazima tufanye kweli. kunagap kubwa kati ya HODs na watumishi wengine hijapokuwa elimu mko sawa.
 
ndio hofu ya wanufaika na mfumo,ukitaka mabadiliko wanadai wewe ni UKAWA.Kama wewe si mgeni humu basi unanipata.mi nilishashtuka kitambo kuwa tunaliwa
 
Tumechoka lazima tufanye kweli. kunagap kubwa kati ya HODs na watumishi wengine hijapokuwa elimu mko sawa.
Mkuu umegusa penyewe.mi nina basic 810 TGSE ila wako watu nawazidi elimu wana above 3m,kisa mkuu wa idara au Kitengo
 
Mgombea pekee aliyeweka bayana namna ya kutatua hayo uliyoyaainisha Kama matatizo ni Mhe. Magufuli.
Sikiliza vizuri ilani yake Kama hujafanikiwa kuisoma. Majizi yote na wasio wajibika watashughulikiwa.

SERA ZA MAGUFULI NDIO JIBU SAHIHI. HAPA KAZI TUU!!!

Queen Esther

Watumishi wenzangu wa umma bila kujali cheo wala ngazi ya mshahara,bila kujali ni permanent and pensionable ama ni mkataba,nawaalika hapa ili tujadili na kukubaliana kuhusu hatma yetu Octoba 25.

Katika mjadala wetu tujadili juu ya mazingira ya kazi kwa ujumla ikiwa pamoja na stahiki zetu.Kwa kuanzia tu niseme mimi kama afisa mwandamizi wa serikali naona watumishi tuna changamoto nyingi sana ambazo zimekosa majibu na utatuzi.Mojawapo ikiwa ni gap kati ya maslahi yetu na wanasiasa.

Wanasiasa wanakula nchi mpaka mbegu.Mfano ni ukata uliokumba ofisi zetu mwaka huu,lakini unaweza kusikia mamilioni na mabiliöi kuhonga wanasiasa.Mnasemaje kuhusu PAYE kwenye mishahara ukilinganisha na misamaha ya kodi kwa makambuni makubwa ya kibiashara. Watumishi wenzangu mnasemaje kuhusu wanasiasa kuwa ndio kila kitu nchi kiasi cha taaluma zetu kuwa dumped.

Mfano mzuri ni jinsi bajeti ilivyovurugwa mwaka wa fedha uliopita na unaoendelea.Watumishi bunge la katiba halikuwa kwenye bajeti na pesa zimetafunwa.Mambo ya maabara yamekwapua Grants zote na Mapato ya Ndani.

Unajua hujalipwa stahili zako ngapi kutokana na lack of budget displine?Sasa ndugu watumishi tunafanyaje Oct 25?Ni kweli CCM bado inatosha?

Tujadili hapa.
 
mtaendelea kukatwa kodi mpaka mtoe damu, kwasababu ni waoga wakuhoji uhalali wa jambo lolote linalowahusu, vilevile kazi mmezipata kwa kujuana na vyeo mnapandishwa kwa kujipendekeza kwa haohao wanasiasa. Chakushangaza hata kura ambayo ni siri mnawapigia haohao mnaowalaumu kisa tu mnaogopa mabadiliko ili msijepoteza nafasi zenu mlizonazo. Na lazima mnyooke.
 
Mgombea pekee aliyeweka bayana namna ya kutatua hayo uliyoyaainisha Kama matatizo ni Mhe. Magufuli.
Sikiliza vizuri ilani yake Kama hujafanikiwa kuisoma. Majizi yote na wasio wajibika watashughulikiwa.

SERA ZA MAGUFULI NDIO JIBU SAHIHI. HAPA KAZI TUU!!!

Queen Esther

Kinachotekelezwa ni sera za nchi siyo sera za Makufuli. "Hapa kazi tu" siyo sera ni kauli mbiu ya kutafutia kura tu kama ilivyokuwa maisha bora kwa kila mtanzania.

Ni ukweli mtupu wanasiasa hasa CCM wamepuuza na kidharau watumishi wa umma na wanataaluma kwa muda mrefu. Mwaka huu tusikubali tena ahadi hewa. Mabadiliko hayazuiliki hata wakija na goli la mkono.
 
Tuna imani na Mhe. Magufuli.

Anazo sera nzuri kutatua matatizo ya wafanyakazi wa UMMA.
Ni mchapa kazi wa ukweli. Hana maigizo!!!

HAPA NI KAZI TU!!

binti unajua mimi sio mtoto mdogo,bahati nzuri nimefanikiwa kujua vyote siasa na utumishi.em niambie katika zuga zote za Magufuli kuna zuga mpya?ni kipi katika kuboresha maslah ya watumishi ambacho CCM hawajawahi kuhubiri au kuahidi,labda wewe hukuijua ilani ya kikwete,labda wewe hujui ahadi tamu za kinana.Achana na political promises,kuna yazungumzayo bungeni katika bajeti,kwani wameanza kuahidi leo?
 
Tuna imani na Mhe. Magufuli.

Anazo sera nzuri kutatua matatizo ya wafanyakazi wa UMMA.
Ni mchapa kazi wa ukweli. Hana maigizo!!!

HAPA NI KAZI TU!!

Queen Esther
em zitaje "sera nzuri" hizo ili tukupe shule hapa
 
ndugu zangu watumishi unajua wengine wandhani eti UKAWA wakishinda watapokonywa vyeo msiogope watumishi wa uma watabaki na kazi zao hatuwezi kushabikia upuuzi wa maccm eti mtu anakula bilion of money alafu anasema pesa za mboga mara oooh ni vijicent tu mara sitaki kura za waalimu mara asiyetaka kazi aache mara ooh wengine hawana ajira mkiacha tunaajiri wengine kweli??????????? haki iko wap hebu elimu ndogo tuliyoipata tukaajiriwa tuitumieni vizuri tuisaidia mama TANZANIA kuondokana na utumwa wa fikra mgando na kuondoa kundi la watu wachache wanaosema wao ndio watanzania wengine sisi hatuna hiyo haki utadhani wao ndio Mungu CHAGUA MABADILIKO NA LOWASSA 2015
 
Mgombea pekee aliyeweka bayana namna ya kutatua hayo uliyoyaainisha Kama matatizo ni Mhe. Magufuli.
Sikiliza vizuri ilani yake Kama hujafanikiwa kuisoma. Majizi yote na wasio wajibika watashughulikiwa.

SERA ZA MAGUFULI NDIO JIBU SAHIHI. HAPA KAZI TUU!!!

Queen Esther

Sera au porojo? lazima nifanye kweli nimechoka kuchangia Mwenge wakati mshahara wangu mdogo, kupata promotion mpaka kudra za Mungu. Nasisitiza nitafanya kweli sirudi nyuma.
 
ndugu zangu watumishi unajua wengine wandhani eti UKAWA wakishinda watapokonywa vyeo msiogope watumishi wa uma watabaki na kazi zao hatuwezi kushabikia upuuzi wa maccm eti mtu anakula bilion of money alafu anasema pesa za mboga mara oooh ni vijicent tu mara sitaki kura za waalimu mara asiyetaka kazi aache mara ooh wengine hawana ajira mkiacha tunaajiri wengine kweli??????????? haki iko wap hebu elimu ndogo tuliyoipata tukaajiriwa tuitumieni vizuri tuisaidia mama TANZANIA kuondokana na utumwa wa fikra mgando na kuondoa kundi la watu wachache wanaosema wao ndio watanzania wengine sisi hatuna hiyo haki utadhani wao ndio Mungu CHAGUA MABADILIKO NA LOWASSA 2015

Tusiogope kwan ww ndio utakuwa Rais?. ninachoshukr ofsin kwetu wote Magufuli isipokuwa mchaga mmoja cjui kalishwa nn...
hawrz kupunga PAYE ilihali kwenye uchaguz huu anadhaminiwa na matajir wa ndani na nje... unadhan watalipa kodi hao au cc tutaendelea kukandamizwa? kama watakwepa kodi marafk zake nchi itaendeshwaje? mm cjaona future kwa Lowassa... kwanza mwaka huu tumepandishiwa mshahara sasa kwa nn itokee mtu aanze kujenga chuki... siion dira kwa UKAWA hajapatkana kiongoz wa kuleta mabadiliko ya kwel huko badili yake ni kutaka madaraka...

Mim siendeshwi na mkumbo.. ni akir kubwa tu ndio wanaelewa...
 
Tumechoka lazima tufanye kweli. kunagap kubwa kati ya HODs na watumishi wengine hijapokuwa elimu mko sawa.
Ni kati ya vitu ambavyo vinaumiza sana! HODs wanabebwa sana lazima apatikane mtu wa kulizungumzia hili for sure!!
 
Tusiogope kwan ww ndio utakuwa Rais?. ninachoshukr ofsin kwetu wote Magufuli isipokuwa mchaga mmoja cjui kalishwa nn...
hawrz kupunga PAYE ilihali kwenye uchaguz huu anadhaminiwa na matajir wa ndani na nje... unadhan watalipa kodi hao au cc tutaendelea kukandamizwa? kama watakwepa kodi marafk zake nchi itaendeshwaje? mm cjaona future kwa Lowassa... kwanza mwaka huu tumepandishiwa mshahara sasa kwa nn itokee mtu aanze kujenga chuki... siion dira kwa UKAWA hajapatkana kiongoz wa kuleta mabadiliko ya kwel huko badili yake ni kutaka madaraka...

Mim siendeshwi na mkumbo.. ni akir kubwa tu ndio wanaelewa...
hapa tunaweza kuona wewe ni mtumishi wa aina gani,mkabila pengine mdini pia!hata huna upeo kujua kama mshahara umeongezeka au lah,niambie umeongezeka bei gani(weka net salary) halafu jaribu fanya in comparison to cost of living.hutaki kujua kama mishahara leo inakopwa,hivi wewe unajua mara ya mwisho makato yako ya Pension,NHIF,ni lini yamepelekwa kwa mara ya mwisho?usiishie mshahara tu zungumzia na working environment.tumeweka hapo juu gap letu na maslahi ya wanasiasa,gusia sasa
 
Tusiogope kwan ww ndio utakuwa Rais?. ninachoshukr ofsin kwetu wote Magufuli isipokuwa mchaga mmoja cjui kalishwa nn...
hawrz kupunga PAYE ilihali kwenye uchaguz huu anadhaminiwa na matajir wa ndani na nje... unadhan watalipa kodi hao au cc tutaendelea kukandamizwa? kama watakwepa kodi marafk zake nchi itaendeshwaje? mm cjaona future kwa Lowassa... kwanza mwaka huu tumepandishiwa mshahara sasa kwa nn itokee mtu aanze kujenga chuki... siion dira kwa UKAWA hajapatkana kiongoz wa kuleta mabadiliko ya kwel huko badili yake ni kutaka madaraka...

Mim siendeshwi na mkumbo.. ni akir kubwa tu ndio wanaelewa...
eti marafiki wa Lowasa wanakwepa kodi,hivi serikali hii iko chini ya Lowasa kiasi cha kuwezesha rafiki zake kukwepa kodi?sio CCM?sasa mbona waivua nguo CCM kwa kushindwa kuwajibisha wakwepa kodi?nimegundua hujui kitu
 
Back
Top Bottom